Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

Magufuli hakuwa na chuki na watu bali utendaji wabovu na wala rushwa

Huyu jamaa Mramba ni Inner cycle ya ule mfumo mbovu uliotumbuliwa,
so naona jitihada za kuendelea kurudisha kale ka 'system' kanaendelea
Magufuli alihangaika kuwamiminia risasi wakina Lissu wakti msaliti na mpinzani nguli alikuwa msadizi wake mkuu kikatiba
 
Wakuu,

Nyinyi mmezoeleka. Taifa hili kiongozi wa sehemu flani akiwa tu muislam basi ni shida kwenu. Sijui hata waislam wamewakosea nini.

Sasa waislam wameshawajua nyinyi agenda zenu. Hawapati tabu kabisa wao wanaendelea kufanya kazi tu nyinyi pigeni kelele
Mbona amebalance mawazo yake, kwamba tuwe na uwiano wa 50/50 ili asiwepo wa kupenyeza udini na ukabila.
Hili litasaidia kuondoa visasi ambavyo ni hatari siku zijazo
 
Kwa hiyo unataka kuniambia kule CRDB wenye vigezo vya kuajiriwa ni wachaga peke yako, maana huko ndio mmejazana utafikri ile ni benki ya wachaga.
Crdp syo mali ya serikali bali serikali ilikua na hisa ndogo, majority shares was puplic, na nyingine denish ambazo mwendazake alizipora kihuni.
Ndyo maana hata uteuzi wa mtendaji mkuu haufanywi na serikali neither board ya wakurugenzi huwa uteuzi wake hufanywa na wenye hisa kwenye GENERAL MEETING.
wakati mwingine tumia ubongo ukuelekeze
 
Huo ni ukweli, wanachokosa ni ukatili na unyang'anyi tu
Ule ulemavu wa mkono wa Dr Slaa aliupata wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete,

Yule mwandishi wa habari alilipuliwa na bomu kule Iringa akiwa chini ya ulinzi wa Polisi wakati wa ulinzi wa Polisi.
 
Crdp syo mali ya serikali bali serikali ilikua na hisa ndogo, majority shares was puplic, na nyingine denish ambazo mwendazake alizipora kihuni.
Ndyo maana hata uteuzi wa mtendaji mkuu haufanywi na serikali neither board ya wakurugenzi huwa uteuzi wake hufanywa na wenye hisa kwenye GENERAL MEETING.
wakati mwingine tumia ubongo ukuelekeze
Maelezo yako ndio justification ya wachaga kujazana Crdb ?
 
Kateua wengi based kanda ya ziwa hata waliokuwa less qualified and no one questioned about it, so sioni shida kulaumu teuzi hizi mpya
Mkuu uko sawa, mfano wakurugenzi na madc aliteua zaidi ya 50% ngoshaz! Wengine dhaifu kabisa! Mm nina mifano halisi. Mm siyo muislam lakini acha mama ateue tu. Jiwe alipandikiza mbegu mbaya sana ya ukabila na chuki nyingi mno kwa watu waliotofautiana naye kimtazamo. Kwa kweli apumzike tu anapostahili. Mbaya zaidi katika maraisi wote walioongoza tz, yeye ndiye ameongoza muda mfupi(ukimtoa samia anayeendelea) lakn ndiye raisi aliyemtaja Mungu hadharani mara nyingi kuliko wote ila matendo yake sasa!
 
Kuna ubaya gani Kama kazi wanafanya na hawatuteki?
Mbona Magu alijaza wasukuma wakawa wanatuteka na kutulazimisha tuwaabudu?

Mkristo akiwa na roho mbaya ana tofauti gani na Muslims mwenye roho mbaya?
Safi sana, aje ajibu haya maswali
 
Shenzi sana hawa makafiri hawa
Mkuu unakosea sana kuita watu makafiri kwa ajili ya mchangiaji mmoja au wawili! Mimi ni mKristo lakini yeyote anayechaguliwa hainisumbui tena to be precisely waislamu wamefanya vema kuliko wakristo.

Magufuli alikuwa mbaguzi wa kikanda na mdini,hakukuwa na aliyepiga kelele. Speech zake alitolea kanisani haikuwa sawa kabisa. Hawa wanao ona Samia ni mdini let them be, Samia kwenye udini hajafika hata robo ya Magufuli BTW kila mtu angekuwa kny hiyo nafasi tungeyasikia hayo.

Tuache mihemko ya kidini, acha kuita watu makafiri wewe pia unachochea chuki ya udini.
 
Maelezo yako ndio justification ya wachaga kujazana Crdb ?
Kama kampuni ni binafsi nani wa kuingilia mambo yao ya ndani?
Mbona huulizi KCB,AKIBA COMMERCIAL, MKOMBOZI, DCB.
Watu wataajiri kwa namna wanavyoona na kwa maslahi ya mtu na taasisi syo na UMMA
 
Hii mijadala ya kidini ni very primitive na ina kera sana! Mwalimu Nyerere slisingiziwa kujaza Wakatoliki ktk cabinet. Kumbe Mkatoliki alikuwa ni Sir Kahama na yeye mwenyewe Rais.

Kaja mzee Mwinyi upuuzi huu ukaendelea, kaja Mzee Mkapa wajima na wajinga wakaendeleza upuuzi huu. Kwa Mzee Kikwete na Magufuli tena. Sasa ni kwa Rais Samia. Tuache huu upuuzi una kera sana. Tunaacha kujadili merits za kielimu tunajadili John na Abdallah.
 
M/kiti wa bodi Ya Tanesco Ni Muislam
DG Wa Tanesco pia ni Muislam
DG Wa Rea Ni Muislam Pia

Ts Islamic State

Bakwata Wanaupiga Mwingi Sana
Mbona nyie mlijaza wakatoliki serikalini hii ni zamu yetu sasa mkae kwa kutulia.
 
Back
Top Bottom