Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Mkuu nilisoma mara tatu kujua kama kweli mteuliwa ni huyu huyu mchafuzi wa Uchaguzi. Hakika kuwa Kiongozi Tanzania ni rahisi sana kwa kigezo chochote kile. More importantly uwe mwana CCM mtiifu.
Kama Mahera anatakiwa kuwa mahakamani basi hata Samia anatakiwa kupelekewa mahakamani, huko CCM hakuna mtu hasiyenuka damu za 2020.
 
Mbowe anataka viongozi wote wachaguliwe kwa kura na wananchi, kuanzia DC, DMO, ofisa afya, mkuu wa mkoa, katibu wa masijala , etc binafsi naona ni wazo zuri, hii itaruhusu hata mkuu wa wilaya kumvimbia Rais na hakuna kitu Rais atamfanya.

Vilevile kutakua na chaguzi kila mwezi, kujaza nafasi, demokrasia itakuaπŸ˜‚πŸ€·β€β™‚οΈ
 
Ramadhani Kailima yuko rational sana!
Nchi hii viongozi wanaotokana na imani au dini ya Kikristo ni makatili sana, angalia Kuanzia Nyerere, Mkapa hadi Magufuli. Sijui mapadre wao hawawafundishi upendo au ni roho zao mbaya tu.

Kwa upande wa hawa viongozi wanaofuata imani ya waarabu yaani uislamu wana upole sana na ni wazembe sana kushughulika na viongozi wa umma wanaokiuka miongozo na taratibu za utumishi wa umma, hawa viongozi kutoka dini ya majahazi wanaongoza kuwafumbia macho majitu yanayofanya ufisadi nchini, huko mbele tunahitaji Rais hasiye mkristu wala muislamu.
 
Hamna kinachombeba ni timu msoga na ndugu yetu katika imaan
halaf kwanini ndugu zetu mmeibeba hiyo kama agenda ..kipindi cha mwenda zake baraza la mawaziri na Makatibu wa kuu musilam unatafuta kwa tochi ila hakuna aliekua akilalamika ..msiwe Ivo ndugu zetu hii inchi ni yetu sote..twende na jina tanzania
 
Hahaha Wasukuma kama Wachaga tu sijaona Mchaga hata mmoja popote, angalau Wasukuma bado bado masalia yapo, ila Wachaga duh labda tusubiri Kimei kwa maana ana bidii sana huenda next time watamkumbuka, …
Kimei..? 😲,Ni mtu mzuri sana,, alimsaidia sana boss wangu ku access mikopo crdb bila zengwe,,
Ni mtu very understanding na flexible πŸ€·β€β™‚οΈ
 
Lakini si bora nyerere licha ya ukali hakuacha mabepari wazidi kunemeka kuliko masikini. JPM alifanya kazi nzuri sana kuhakikisha wizi nchini unapotea. Uongozi unataka mtu mkali, mambo ya kubembelezana hayatakiwi.
 
halaf kwanini ndugu zetu mmeibeba hiyo kama agenda ..kipindi cha mwenda zake baraza la mawaziri na Makatibu wa kuu musilam unatafuta kwa tochi ila hakuna aliekua akilalamika ..msiwe Ivo ndugu zetu hii inchi ni yetu sote..twende na jina tanzania
Ni sawa nakubali ni zamu ya ndugu zetu katika imaan,tutakuwa tunakutana masjid kujadil progress za wizara zetuπŸ˜…πŸ˜…πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…