ilore
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 963
- 1,248
Acha uongo mkuu,doto biteko si waziri,j4 saginiHatimaye Kanda ya ziwa, katubakishia ..Angelina mabula.
Tunajua ugonvi wake na Kanda ya ziwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo mkuu,doto biteko si waziri,j4 saginiHatimaye Kanda ya ziwa, katubakishia ..Angelina mabula.
Tunajua ugonvi wake na Kanda ya ziwa.
Hivyo vitu havitokei tu bahati mbaya mkuuMambo yanaenda kasi sanaaaa
Mwanafa waziri??
Amshukuru muiba kura awamu ile
Kama Mahera anatakiwa kuwa mahakamani basi hata Samia anatakiwa kupelekewa mahakamani, huko CCM hakuna mtu hasiyenuka damu za 2020.Mkuu nilisoma mara tatu kujua kama kweli mteuliwa ni huyu huyu mchafuzi wa Uchaguzi. Hakika kuwa Kiongozi Tanzania ni rahisi sana kwa kigezo chochote kile. More importantly uwe mwana CCM mtiifu.
Kutesa kwa zamu, hawa nao walijazana sana serikalini kipindi cha MwendazakeMara haina waziri, Simiyu haina waziri. Shinyanga sijui kama yupo, Geita sijui kama yupo.
Hivi huwa kaimu mkurugenzi anateuliwa na rais?Nausubiri wa maDED kwa hamu,kaimu mkurugenzi wangu hatoshi kwenye kiti,inshort amepwaya sana,hana maamuzi na ana uzawa sana.
Hivi huwa kaimu mkurugenzi anateuliwa na rais?
Kaimu MKURUGENZI ni machawa wa Wakurugenzi. Haipo hata kwenye Muundo.Hivi huwa kaimu mkurugenzi anateuliwa na rais?
Mbowe anataka viongozi wote wachaguliwe kwa kura na wananchi, kuanzia DC, DMO, ofisa afya, mkuu wa mkoa, katibu wa masijala , etc binafsi naona ni wazo zuri, hii itaruhusu hata mkuu wa wilaya kumvimbia Rais na hakuna kitu Rais atamfanya.Kupanga na kupangua apange mwingine then wewe ndiyo uchoke?
Katiba mpya ni muhimu hasa kwenye kumpunguzia Rais madaraka, kuzipa nguvu taasisi na huu ujinga wa kuwa na presidential appointees wengi ambao wanakosa hata nguvu za kumuwajibisha na kuondoa immunities za kijinga zinazowapa viburi viongozi.
Unamaanisha nini ?Ridhiwani amekabidhiwa TISS.
Hamna kinachombeba ni timu msoga na ndugu yetu katika imaanHivyo vitu havitokei tu bahati mbaya mkuu
Nikujuze t huyo sio mwenzetu kitambo tu ni mtu wa kazi mbili.
Kati ya waziri na naibu Nani mtendaji mkuu?Alikuwa hafiti Ardhi,Ardhi unahitaji mtu very aggressive na anayejua masuala ya Ardhi in general,pale maza alikosea kumweka,kaona gap karekebiaha tatizo
Utalinganisha na ulaji wa ardhi?Kuongoza watumishi wote,usalama,pccb ni kula kiporo mkuu
Mmh, kumbe.Hidden future issue...
Ridhiwan Jakaya, keep and note my reply kama anaenda kufichwa, kwanza.
Nchi hii viongozi wanaotokana na imani au dini ya Kikristo ni makatili sana, angalia Kuanzia Nyerere, Mkapa hadi Magufuli. Sijui mapadre wao hawawafundishi upendo au ni roho zao mbaya tu.Ramadhani Kailima yuko rational sana!
halaf kwanini ndugu zetu mmeibeba hiyo kama agenda ..kipindi cha mwenda zake baraza la mawaziri na Makatibu wa kuu musilam unatafuta kwa tochi ila hakuna aliekua akilalamika ..msiwe Ivo ndugu zetu hii inchi ni yetu sote..twende na jina tanzaniaHamna kinachombeba ni timu msoga na ndugu yetu katika imaan
Kimei..? 😲,Ni mtu mzuri sana,, alimsaidia sana boss wangu ku access mikopo crdb bila zengwe,,Hahaha Wasukuma kama Wachaga tu sijaona Mchaga hata mmoja popote, angalau Wasukuma bado bado masalia yapo, ila Wachaga duh labda tusubiri Kimei kwa maana ana bidii sana huenda next time watamkumbuka, …
Lakini si bora nyerere licha ya ukali hakuacha mabepari wazidi kunemeka kuliko masikini. JPM alifanya kazi nzuri sana kuhakikisha wizi nchini unapotea. Uongozi unataka mtu mkali, mambo ya kubembelezana hayatakiwi.Nchi hii viongozi wanaotokana na imani au dini ya Kikristo ni makatili sana, angalia Kuanzia Nyerere, Mkapa hadi Magufuli. Sijui mapadre wao hawawafundishi upendo au ni roho zao mbaya tu .
Kwa upande wa hawa viongozi wanaofuata imani ya waarabu yaani uislamu wana upole sana na ni wazembe sana kushughulika na viongozi wa umma wanaokiuka miongozo na taratibu za utumishi wa umma, hawa viongozi kutoka dini ya majahazi wanaongoza kuwafumbia macho majitu yanayofanya ufisadi nchini, huko mbele tunahitaji Rais hasiye mkristu wala muislamu.
Aaa hapana ni Mwinjuma Muumini wa Tamtam Bandhivi huyu Mwinjuma SI ndio Mwana FA!!??
Ni sawa nakubali ni zamu ya ndugu zetu katika imaan,tutakuwa tunakutana masjid kujadil progress za wizara zetu😅😅🤔halaf kwanini ndugu zetu mmeibeba hiyo kama agenda ..kipindi cha mwenda zake baraza la mawaziri na Makatibu wa kuu musilam unatafuta kwa tochi ila hakuna aliekua akilalamika ..msiwe Ivo ndugu zetu hii inchi ni yetu sote..twende na jina tanzania