Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

[emoji1787] mtoto wa Rais si binadamu ?Nani asiyeitaka wizara ya ardhi ?Jamani hizi ni za ndani kabisa. Unavyobisha utafikiri kina Nape walikuwa hawamsengenyi Magufuli kisa ni chama kimoja.
Hivi ridhiwani akihitaji sehemu yoyote inchi hii mpaka awe waziri.akitaka sehemu yoyote anaipata hata bila kuwa waziri
 
Pale Ardhi alikuwa anamfanyia fitna Ms Mabula ,sema Mabula itakuwa ni mtu wa maombi sana.
Acha kumuonea Ridhiwani ni mtu mwenye haki na alieluwa anaemfanyia fitna Mabula ni yule kamishna wake wa ardhi anatapeli ardhi za watu Mabula akimkanya anaenda kusema uongo
 
Huyo hawezi tolewa,hakuna wa kumgusa kabisa nchi hii,labda Magu angekua hai ndio angeweza
Hilo linajulikana anaishi kwa mbeleko ila haliondoi ukwel wa uwezo wake mdogo kiutendaj,waache walambe asali ni haki yao ya kikatiba😅
 
Nimefanya nae kazi ninamjua vyema...uchaguzi wa 2015 ilibidi CCM wapambane kwa wakurugenzi...mcha Mungu asiye na mawaa, uchaguzi ule angekua ni Mahera Lowassa asingepata hata kura laki 5.

Samia kuna maeneo amedhamiria kuleta haki....
Hakuna mtendaji wa tume anayeweza kuwa kikwazo kwa Ccm wakitaka kucheza michezo yao.
 
Haha eti dini ya majahazi [emoji1]

Kwani ukristo uliletwa kwa ndege afrika

Ova
 
huyu mama ana upuuzi mwingi sana !😏

Nchi imemshinda kilo ya mchele imefika elfu 3 kazi kuteua na kutengua tu.

hapo pote anatatafuta timu ya kumsapoti 2025.

na mi nasema hiv: kabla ya 2025 Mwenyezi Mungu ataingilia kati inshaAllah 🙏
 
Kwa maana hiyo Cabinet mpya itatangazwa baadaye.
Cabinet itatangazwa baadaye na labda uteuzi wa Ma RC unaweza kufanyiwa retouch.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…