bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,443
- 9,854
Kwani katiba inasema waziri lazima atoke kila mkoa?
Ili kubalansi inabidi kila mkoa ulambe asali kwa kupata waziri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani katiba inasema waziri lazima atoke kila mkoa?
Kati ya Mafia na Rufiji ipi sahihiYule Mafia
Hivi kwa akili ya kawaida tu Rizi ni mtu wakumfanyia fitna Mabula ili apewe hiyo nafasi?Pale Ardhi alikuwa anamfanyia fitna Ms Mabula ,sema Mabula itakuwa ni mtu wa maombi sana.
Ni RufijiKati ya Mafia na Rufiji ipi sahihi
Mafia mobKati ya Mafia na Rufiji ipi sahihi
Hiyo mikoa uliyotaja imejaa wagalatia, ni wapigaji sana......alisema mch. KimaroMikoa ya Tanga na Pwani ina mawaziri na manaibu waziri kama wote. Sidhani mkoa wa mara ama Manyara ama Simiyu una waziri hata mmoja.
🤣 mtoto wa Rais si binadamu ?Nani asiyeitaka wizara ya ardhi ?Jamani hizi ni za ndani kabisa. Unavyobisha utafikiri kina Nape walikuwa hawamsengenyi Magufuli kisa ni chama kimoja.Hivi kwa akili ya kawaida tu Rizi ni mtu wakumfanyia fitna Mabula ili apewe hiyo nafasi?
Mtoto wa Rais mstaafu hawezi kufanya ujinga huo kwakuwa hiyo nafasi hahitaji kugombania bali ikipigwa simu moja tu atachagua nafasi aitakayo kwenye baraza.
Yule anabadilishwa kwa lengo la kuwa waziri kamili wala hahitaji hizo fitna unazosema.
Fitna wanafanya watoto wa masikini waliobahatika kupata vyeo ili waaminiwe zaidi.
Huyo hawezi tolewa,hakuna wa kumgusa kabisa nchi hii,labda Magu angekua hai ndio angewezaKilaza atapewa jukumu gani?ashukuru anabebwa na jina la baba 🙅
Tanga na Zanzibar je?Afya,ndani, Ulinzi Nishati. Manaibu nje,ulinzi, michezoMkoa wa Pwani mawaziri
1. Ulega- mkuranga
2. Mchengerwa -Rufiji
3. Jafo- kisarawe
Naibu waziri
Chalinze
Kilwa
Fanya kazi ndugu, Wahindi na Waarabu ndio kundi la waliofanikiwa zaidi kiuchumi na hawana hizo political representation, ukifanikiwa kiuchumi hiyo representation itakufuata kuja ku lobby yenyeweHuko tumejaa siku zote tangia uhuru, lkn political representation ni muhimu pia kwani huko ndiyo maamuzi yanayoathiri maisha ya watu kwa ujumla yanapofanyika!
duu! kama ni hivyo basi ana bahati sana cause huyu Jamaa nadhani ni memba wa muda wa kundi la kukataa ndoa alisemaga kuwa bado yupoyupo, ingawa awali alidai pia yeye na hawa mabinti ni kitu kimoja
Koka na yule wa crdb waogee chumvi ya Mshana Jr
Nashangaa hata mm watu kusema rizi ampige fitina mabula kwa lipi ridhoeani haitaji hayo mamboHivi kwa akili ya kawaida tu Rizi ni mtu wakumfanyia fitna Mabula ili apewe hiyo nafasi?
Mtoto wa Rais mstaafu hawezi kufanya ujinga huo kwakuwa hiyo nafasi hahitaji kugombania bali ikipigwa simu moja tu atachagua nafasi aitakayo kwenye baraza.
Yule anabadilishwa kwa lengo la kuwa waziri kamili wala hahitaji hizo fitna unazosema.
Fitna wanafanya watoto wa masikini waliobahatika kupata vyeo ili waaminiwe zaidi.
Nirasha Rasha tu ila waziri wa jungu na Tumbo wajiandae.🤐