Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Pale Ardhi alikuwa anamfanyia fitna Ms Mabula ,sema Mabula itakuwa ni mtu wa maombi sana.
Hivi kwa akili ya kawaida tu Rizi ni mtu wakumfanyia fitna Mabula ili apewe hiyo nafasi?

Mtoto wa Rais mstaafu hawezi kufanya ujinga huo kwakuwa hiyo nafasi hahitaji kugombania bali ikipigwa simu moja tu atachagua nafasi aitakayo kwenye baraza.

Yule anabadilishwa kwa lengo la kuwa waziri kamili wala hahitaji hizo fitna unazosema.

Fitna wanafanya watoto wa masikini waliobahatika kupata vyeo ili waaminiwe zaidi.
 
🤣 mtoto wa Rais si binadamu ?Nani asiyeitaka wizara ya ardhi ?Jamani hizi ni za ndani kabisa. Unavyobisha utafikiri kina Nape walikuwa hawamsengenyi Magufuli kisa ni chama kimoja.
 
Huko tumejaa siku zote tangia uhuru, lkn political representation ni muhimu pia kwani huko ndiyo maamuzi yanayoathiri maisha ya watu kwa ujumla yanapofanyika!
Fanya kazi ndugu, Wahindi na Waarabu ndio kundi la waliofanikiwa zaidi kiuchumi na hawana hizo political representation, ukifanikiwa kiuchumi hiyo representation itakufuata kuja ku lobby yenyewe
 
duu! kama ni hivyo basi ana bahati sana cause huyu Jamaa nadhani ni memba wa muda wa kundi la kukataa ndoa alisemaga kuwa bado yupoyupo, ingawa awali alidai pia yeye na hawa mabinti ni kitu kimoja

Zilikuwa mbwembwe tu za muziki...

Jamaa kaoa kitambo na ana watoto...na katika kampeni za ubunge mkewe amepanda jukwaani mara kadhaa na mshikaji
 
Tafadhali mheshimiwa rais,
Mrudishe Baraza La Mitihani(NECTA),Dr.Charles E.Msonde.
Hii ni kwa maslahi ya Taifa letu.
Naipenda Tanzania.
 
Hivi kwa akili ya kawaida tu Rizi ni mtu wakumfanyia fitna Mabula ili apewe hiyo nafasi?

Mtoto wa Rais mstaafu hawezi kufanya ujinga huo kwakuwa hiyo nafasi hahitaji kugombania bali ikipigwa simu moja tu atachagua nafasi aitakayo kwenye baraza.

Yule anabadilishwa kwa lengo la kuwa waziri kamili wala hahitaji hizo fitna unazosema.

Fitna wanafanya watoto wa masikini waliobahatika kupata vyeo ili waaminiwe zaidi.
Nashangaa hata mm watu kusema rizi ampige fitina mabula kwa lipi ridhoeani haitaji hayo mambo
 
Back
Top Bottom