Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Wakristu wa nchi hii wengi ni majizi, mafisadi na wabinafsi, hawafai kuaminiwa kukabidhiwa usimamizi utoaji wa huduma kwenye ofisi za umma.Hiyo mikoa uliyotaja imejaa wagalatia, ni wapigaji sana......alisema mch. Kimaro
Hamna mtu humo.... Jina tu linambebaHidden future issue...
Ridhiwan Jakaya, keep and note my reply kama anaenda kufichwa kwanza!.
Innocent Bashungwa ni mwenyeji wa wapi hapa Zanzibar ?Tanga na Zanzibar je?Afya,ndani, Ulinzi Nishati. Manaibu nje,ulinzi, michezo
Katiba katiba KATIBAHii nchi,imelogwa ikalogeka kuliko alivyotaka mchawi,
Unamfukuza William lukuvi wizara ya ardhi,unamuweka Mwanafa kwenye baraza la mawaziri,
System ilisema Nehemiah mchechu ni mchafu,sasa hv amepelekwa hazina kabisa.
Aliyepo pale NECTA baada ya Chalesi anatosha. Nchi haiwezi kwenda mbele kwa kutegemea watu walewale miaka yote.Tafadhali mheshimiwa rais,
Mrudishe Baraza La Mitihani(NECTA),Dr.Charles E.Msonde.
Hii ni kwa maslahi ya Taifa letu.
Naipenda Tanzania.
Umenifungua akili chief.Ile ndio Wizara ya TISS na TAKUKURU na taasisi mbili nyingine,I do not remember which.
Very interesting!We unsichulia kama dharau, wengine tuaichukulia kama lack of vision and standards.
Ipo siku ataukwa uraisHuyo Rizi anabebwabebwa tu... Hamna kitu humoo... Hamna kitu anajua..
πππ Kwani na yeye ni chawa wa Mama?Kwani wewe ni Pascal Mayalla ?
We mbwa koko umeanza kulalamika?,tulia endelea kusema mama anaupiga mwingiUteuzi wa mediocre personalities sasa umezidi!
Sina la kuongeza ila mama umeingia kwenye mtego wa maono wananchi tusiyoyajua.
Mtanzania mwenzetu mwingine ameaminika mbele ya mamlaka ya urais na kupata uteuzi. Hongera sana Mwana FA, lakini subiri uapishwe kwanza, kwa maana zipo teuzi ambazo hutenguliwa kabla hata ya kula kiapo.Uteuzi wa mediocre personalities sasa umezidi!
Sina la kuongeza ila mama umeingia kwenye mtego wa maono wananchi tusiyoyajua.
Hao wakitoka Samia hatoboi 2025.Hivi kina nape ,makamba hawaguswi na mwigulu