Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Hiyo mikoa uliyotaja imejaa wagalatia, ni wapigaji sana......alisema mch. Kimaro
Wakristu wa nchi hii wengi ni majizi, mafisadi na wabinafsi, hawafai kuaminiwa kukabidhiwa usimamizi utoaji wa huduma kwenye ofisi za umma.

Asije akatokea mwehu mmoja kusema mimi ni muislamu, ieleweke kuwa mimi ni mùumini wa imani za asili za Afrika.
 
Kama haya Mabadiliko yenu ya mara kwa mara mnadhani yanawapeni Sifa basi GENTAMYCINE nawaibieni Siri kuwa ndiyo yanawadharaulisha hakuna mfano kwani yanadhihirisha how incompetent you guys are na ambavyo huenda mko hapo mliko kwa bahati mbaya.
 
Hii nchi,imelogwa ikalogeka kuliko alivyotaka mchawi,
Unamfukuza William lukuvi wizara ya ardhi,unamuweka Mwanafa kwenye baraza la mawaziri,
System ilisema Nehemiah mchechu ni mchafu,sasa hv amepelekwa hazina kabisa.
Katiba katiba KATIBA
 
Palipo nifurahisha ni pawili tu,
-Ardhi
-Uwekezaji kuisogeza ofisi ya rais.
HONGERA DR. SAMIA, KAZI SAFI NA NZURI MNO!
SIJUI KWA MR. PINDA ARDHI KAZI ZITAENDA KWA MWENDO WA HARAKA AU KOBE, LA....
Jambo dogo tu, utarushwa mawiki, miezi, miaka, mpaka viatu viishe!, wengine mpaka sasa tumezoeleka hapo ardhi!
 
We unsichulia kama dharau, wengine tuaichukulia kama lack of vision and standards.
Very interesting!

Hivi mteuzi anayo 'background' gani ya kutaka kumtegemea awe tofauti na anayofanya?

Mbona tunajisahaulisha haraka kiasi hiki? Mara hii tunamwona na kumtegemea mteuzi awe ni tofauti sana na hao anaowateua?
 
Msiba mzito
JamiiForums-535590429.jpg
 
Uteuzi wa mediocre personalities sasa umezidi!
Sina la kuongeza ila mama umeingia kwenye mtego wa maono wananchi tusiyoyajua.
Mtanzania mwenzetu mwingine ameaminika mbele ya mamlaka ya urais na kupata uteuzi. Hongera sana Mwana FA, lakini subiri uapishwe kwanza, kwa maana zipo teuzi ambazo hutenguliwa kabla hata ya kula kiapo.
 
Back
Top Bottom