Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Eeh,inaleta pressure kwa wateule,wafanye kazi
Kwangu mimi inanipa picha kuwa tuna lundo la watu incompetent, ndio maana kuna kupwaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh,inaleta pressure kwa wateule,wafanye kazi
Gekul ni ManyaraMkoa wa Tanga na Pwani ina mawaziri na manaibu waziri kama wote. Sidhani mkoa wa mara ama Manyara una waziri hata Simiyu una waziri hata mmoja.
Simiyu ndo Mashimba nae kafyekelewa mbali.Mkoa wa Tanga na Pwani ina mawaziri na manaibu waziri kama wote. Sidhani mkoa wa mara ama Manyara una waziri hata Simiyu una waziri hata mmoja.
Tumechoshwa na panga pangua ya kila siku, tunahitaji katiba mpya ituokoe na genge la mafisadi
Yaani mawaziri ni Tanga, Pwani, Zanzibar. Mikoa mingine mmoja mmoja sana.Simiyu ndo Mashimba nae kafyekelewa mbali.
Na atakuwa waziri kamili soon.FA anazidi kutusua tyuuh.
Hongera zake sanaaaa
Hatimae wafugaji sasa tumewekwa chini ya wakulima wa nazi na maparachichi duh!!!
Kwani katiba inasema waziri lazima atoke kila mkoa?Yaani mawaziri ni Tanga, Pwani, Zanzibar. Mikoa mingine mmoja mmoja sana.
Mara haina waziri, Simiyu haina waziri. Shinyanga sijui kama yupo, Geita sijui kama yupo.
Hakuna miradi ya kuzindua,Wala viwanda,asipofsnya hv,atakuwa hasikiki,Naona mama panga pangua kila mwezi...
hivi huyu Mwinjuma SI ndio Mwana FA!!??
Dah inasikitisha sanaKwamba Mahera bado anaweza kuaminiwa kwenye Uongozi!!!?