Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

huyu mama ana upuuzi mwingi sana !😏

Nchi imemshinda kilo ya mchele imefika elfu 3 kazi kuteua na kutengua tu.

hapo pote anatatafuta timu ya kumsapoti 2025.

na mi nasema hiv: kabla ya 2025 Mwenyezi Mungu ataingilia kati inshaAllah 🙏
Acha uvivu wewe kama mchele gali nenda kalime au mnataka muambiwe makalimie meno??
 
Wachaga hawana habari za kusubiri teuzi,kusubiri teuzi ni uvivu huo
Watu wanapiga maisha kwenye angle zingine na wana make tu [emoji4][emoji3]

Wasukuma nao wamekua wahanga kama wachaga tu.huyu mama anawachomoa mmoja mmoja tu
Jiwe aliwajaza kiboyaboya wakaona kama nchi yao, mambo ya kulialia ooh sijui kabila letu hawateuliwi mara ooh sijui dini yetu hawateuliwi ni ishara za jamii za watu wavivu wanaotegemea ku-survive kupitia teuzi au kupitia ukaribu wao na wateuliwa. Kuna jamii hazililii teuzi likini life standards zao ziko juu na zina wasomi professionals kibao.
 
Palipo nifurahisha ni pawili tu,
-Ardhi
-Uwekezaji kuisogeza ofisi ya rais.
HONGERA DR. SAMIA, KAZI SAFI NA NZURI MNO!
SIJUI KWA MR. PINDA ARDHI KAZI ZITAENDA KWA MWENDO WA HARAKA AU KOBE, LA....
Jambo dogo tu, utarushwa mawiki, miezi, miaka, mpaka viatu viishe!, wengine mpaka sasa tumezoeleka hapo ardhi!
Huyo Pinda ana lipi la maana? Mweupe tu
 
Back
Top Bottom