Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Zuhura alifaa TBC, samaki yake maji.

Ila pia Zuhura alikosa media strategy katika ziara ya Korea, sasa sijui nafasi za wanahabari wa Tanzania ambao wangeripoti kila kitu zilichukuliwa na wasanii, anyway labda kaolewa,.mzee anaona kuna missing in action nyumbani
AYUBU RYOBA amekaa sana TBC na inazidi kufa tu, hata viongozi wa serikali wanapeleka press zao kule MAWINGU NA E EFUEM
 
AYUBU RYOBA amekaa sana TBC na inazidi kufa tu, hata viongozi wa serikali wanapeleka press zao kule MAWINGU NA E EFUEM
Ayoib Rioba amefikia muda wa kustaafu, kaongezewa muda wa miaka miwili, nadhani sigara na pombe zimemsaidia.

Ila pia ni critical thinker mwenye imani ya mila za kiafrika zinazosema "hairuhusiwi kuongea wakati wa kula", na kweli, tangu aanze kula, hajaongea kabisa
 
Mtoa sumu kapewa uDc kuna mtu ajiandae huko.

Zuhura kawekwa pembeni maana kashindwa kufanya "damage control" baada ya taarifa ya VoA kuonyesha daktari wa mikopo safari hii katoa bahari na madini..

Mama anaupiga mwingi!

Cc: Lucas Mbwa wa shamba.
Ndo yule alitakaga kumuondoa Mang'ula? Ila mang'ula mbishi utadhani Vengu anavyokomaa.
 
Ayoib Rioba amefikia muda wa kustaafu, kaongezewa muda wa miaka miwili, nadhani sigara na pombe zimemsaidia.

Ila pia ni critical thinker mwenye imani ya mila za kiafrika zinazosema "hairuhusiwi kuongea wakati wa kula"
TUNALINAJISI shirka letu, yani hata Kiba FM sijui kings fm ina wasikilizaji kuliko chombo cha Taifa, mara watudanganye siji ndio wenye leseni ya kuonyesha AFCON, mara sijui propaganda gani, yaani
 
Mtoa sumu kapewa uDc kuna mtu ajiandae huko.

Zuhura kawekwa pembeni maana kashindwa kufanya "damage control" baada ya taarifa ya VoA kuonyesha daktari wa mikopo safari hii katoa bahari na madini..

Mama anaupiga mwingi!

Cc: Lucas Mbwa wa shamba.
Kapewa U-DC karibu na mjini , atakuwa anavuka Ferry fasta anaingia maeneneo yake.
 
Itozya Sasa ni muda wa kunikumbuka classmate ,sio kila ukiwa Mbeya unavunga uko bize ,Sasa hivi nitapanda gari mpaka kisarawe nije kukumbusha wema wangu kwako .

Anyway hongera sana Magoti ,nimefurahi kusikia hivyo
Licha ya magoti alivyo naskia yuko fit balaa martial arts anarusha ngumi za hatarii huyo. Hadi ana blackbelt.
 
Back
Top Bottom