Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimae hatimaeRais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali.
View attachment 3010440View attachment 3010441View attachment 3010442
AYUBU RYOBA amekaa sana TBC na inazidi kufa tu, hata viongozi wa serikali wanapeleka press zao kule MAWINGU NA E EFUEMZuhura alifaa TBC, samaki yake maji.
Ila pia Zuhura alikosa media strategy katika ziara ya Korea, sasa sijui nafasi za wanahabari wa Tanzania ambao wangeripoti kila kitu zilichukuliwa na wasanii, anyway labda kaolewa,.mzee anaona kuna missing in action nyumbani
Yupo wapi sahivi?Siku nyingi sana...
Ayoib Rioba amefikia muda wa kustaafu, kaongezewa muda wa miaka miwili, nadhani sigara na pombe zimemsaidia.AYUBU RYOBA amekaa sana TBC na inazidi kufa tu, hata viongozi wa serikali wanapeleka press zao kule MAWINGU NA E EFUEM
Pascal Mayalla hii nafas ya Zuhura ni yakeZuhura alifaa TBC, samaki yake maji.
Ila pia Zuhura alikosa media strategy katika ziara ya Korea, sasa sijui nafasi za wanahabari wa Tanzania ambao wangeripoti kila kitu zilichukuliwa na wasanii, anyway labda kaolewa,.mzee anaona kuna missing in action nyumbani
Kupangiwa kazi nyingine ni kauli nzuri ya neno kufukuzwa kaziNimependa huo mzunguko wa wakuu wa wilaya, huyo atakayepangiwa kazi nyingine ndio mlengwa.
Dah mkuu wee acha tu. Asante sanaHongereni wateuliwa...
Ndo yule alitakaga kumuondoa Mang'ula? Ila mang'ula mbishi utadhani Vengu anavyokomaa.Mtoa sumu kapewa uDc kuna mtu ajiandae huko.
Zuhura kawekwa pembeni maana kashindwa kufanya "damage control" baada ya taarifa ya VoA kuonyesha daktari wa mikopo safari hii katoa bahari na madini..
Mama anaupiga mwingi!
Cc: Lucas Mbwa wa shamba.
TUNALINAJISI shirka letu, yani hata Kiba FM sijui kings fm ina wasikilizaji kuliko chombo cha Taifa, mara watudanganye siji ndio wenye leseni ya kuonyesha AFCON, mara sijui propaganda gani, yaaniAyoib Rioba amefikia muda wa kustaafu, kaongezewa muda wa miaka miwili, nadhani sigara na pombe zimemsaidia.
Ila pia ni critical thinker mwenye imani ya mila za kiafrika zinazosema "hairuhusiwi kuongea wakati wa kula"
Kapewa U-DC karibu na mjini , atakuwa anavuka Ferry fasta anaingia maeneneo yake.Mtoa sumu kapewa uDc kuna mtu ajiandae huko.
Zuhura kawekwa pembeni maana kashindwa kufanya "damage control" baada ya taarifa ya VoA kuonyesha daktari wa mikopo safari hii katoa bahari na madini..
Mama anaupiga mwingi!
Cc: Lucas Mbwa wa shamba.
Inamfaa sana Pascal Mayalla, sijui kwa nini SSH hamuoni brother wangu huyu.Pascal Mayalla hii nafas ya Zuhura ni yake
Licha ya magoti alivyo naskia yuko fit balaa martial arts anarusha ngumi za hatarii huyo. Hadi ana blackbelt.Itozya Sasa ni muda wa kunikumbuka classmate ,sio kila ukiwa Mbeya unavunga uko bize ,Sasa hivi nitapanda gari mpaka kisarawe nije kukumbusha wema wangu kwako .
Anyway hongera sana Magoti ,nimefurahi kusikia hivyo