Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Katibu Ikulu katokea wapi hapa?Tofautisha katibu ikulu na mkurugenzi kurugenzi ya mawasiliano ikulu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katibu Ikulu katokea wapi hapa?Tofautisha katibu ikulu na mkurugenzi kurugenzi ya mawasiliano ikulu.
Hizi kazi za kupigia magoti binadamu ndio upewe hazina maanaJamaa ana gundu na teuzi kila mkeka ukichanika holaa. Yani hata mjumbe tu wa board ya maziwa wanampotezea jamaa.
Kwel JAMAA kala teuzi wakat KafaKuna marehemu katokea kwenye mkeka
Wanaopumua bado wanajipendekeza uchawa wateuliwe wapi hahahaha
Sawa sawa kabisa..Ndo yule alitakaga kumuondoa Mang'ula? Ila mang'ula mbishi utadhani Vengu anavyokomaa.
Matatizo shenzi wewe hiyo wizara ya muungano ? nani atishia nyau nani labda bwege weweMkuu taratibu, hasira na chuki havisaidii. Utajitafutia matatizo bure!
KkkPascal Mayalla hii nafas ya Zuhura ni yake
Mkuu ulikuwa wapi wakati Magufuli anaisigina??? Mbona hukushikwa na ghadhabu ya namna hii. Chuki itakuua bure Mkuu. Umeshachelewa, mkeka ndio umetoka, utajiju mwenyewe kazi iendelee!!Samia kapania kuvunja muungano sio muumini wa muungano huyo kabisa
Anaamini kwenye serikali Tatu analeta chokochoko Kwa makusudi muungano uvunjike anaona watanganyika wako kinywa anawachokonoa kusudi wawake muungano uvunjike
Dawa yake ni TISS na Jeshi wamfungashe virago kama walivyofanya Kwa About Jumbe na Self Shariff Hamad kazi kwao
Wameapa kulinda katiba. Raisi akikiuka katiba wale sahani naye moja without fear or whatever na Mahakama wachachamae majaji wameapa kulinda katiba na wabunge wachachamae bungeni wameapa kulinda katiba huyu mama anasigina katiba adhibitiwe upesi Kwa spidi ya mwewe
👏🙏Matatizo shenzi wewe hiyo wizara ya muungano ? nani atishia nyau nani labda bwege wewe
Duuuh bongo nyoso, Marehemu anapata uteuzi wakati kuna raia kibao tu hazina kazi kitaa?! 🥺Kuna marehemu katokea kwenye mkeka
Wanaopumua bado wanajipendekeza uchawa wateuliwe wapi hahahaha
Aisee inaonekana hujui chochoteKatibu Ikulu katokea wapi hapa
Amekwisha kabisa.Amepanda au ameshuka cheo?
Huyo dogo kakariri madesa 😃Siyo kwa mkurugenzi Ikulu. Mkurugenzi Ikulu ana power sawa au pengine zaidi ya mawaziri.
ChaiLicha ya magoti alivyo naskia yuko fit balaa martial arts anarusha ngumi za hatarii huyo. Hadi ana blackbelt.
😂😂😂😂Katibu Ikulu katokea wapi hapa?
hambwaKuna marehemu katokea kwenye mkeka
Wanaopumua bado wanajipendekeza uchawa wateuliwe wapi hahahaha
Zuhura si mzanzibariMatatizo shenzi wewe hiyo wizara ya muungano ? nani atishia nyau nani labda bwege wewe
SSamia kapania kuvunja muungano sio muumini wa muungano huyo kabisa
Anaamini kwenye serikali Tatu analeta chokochoko Kwa makusudi muungano uvunjike anaona watanganyika wako kinywa anawachokonoa kusudi wawake muungano uvunjike
Dawa yake ni TISS na Jeshi wamfungashe virago kama walivyofanya Kwa About Jumbe na Self Shariff Hamad kazi kwao
Wameapa kulinda katiba. Raisi akikiuka katiba wale sahani naye moja without fear or whatever na Mahakama wachachamae majaji wameapa kulinda katiba na wabunge wachachamae bungeni wameapa kulinda katiba huyu mama anasigina katiba adhibitiwe upesi Kwa spidi ya mwewe
Zuhura anaenda mbele kwa mwendo wa pole.Nadhani Zuhura na Magoti vyeo vimeshuka.
kapanda lakini kutoka kwenye "collidors of power" na si powa ujue... Ikulu anakuwa anaomba appointment ndo apafike.amepanda sana cheo naibu katibu mkuu sio mchezo huyo mwakani anakuwa waziri wa habari