Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Samia kapania kuvunja muungano sio muumini wa muungano huyo kabisa

Anaamini kwenye serikali Tatu analeta chokochoko Kwa makusudi muungano uvunjike anaona watanganyika wako kinywa anawachokonoa kusudi wawake muungano uvunjike

Dawa yake ni TISS na Jeshi wamfungashe virago kama walivyofanya Kwa About Jumbe na Self Shariff Hamad kazi kwao

Wameapa kulinda katiba. Raisi akikiuka katiba wale sahani naye moja without fear or whatever na Mahakama wachachamae majaji wameapa kulinda katiba na wabunge wachachamae bungeni wameapa kulinda katiba huyu mama anasigina katiba adhibitiwe upesi Kwa spidi ya mwewe
Mkuu ulikuwa wapi wakati Magufuli anaisigina??? Mbona hukushikwa na ghadhabu ya namna hii. Chuki itakuua bure Mkuu. Umeshachelewa, mkeka ndio umetoka, utajiju mwenyewe kazi iendelee!!
 
TISS SIYO KWA AJILI YA TAIFA BALI NI KWA AJILI YA KUWALINDA WANA CCM NA VIONGOZI WA CCM.
Samia kapania kuvunja muungano sio muumini wa muungano huyo kabisa

Anaamini kwenye serikali Tatu analeta chokochoko Kwa makusudi muungano uvunjike anaona watanganyika wako kinywa anawachokonoa kusudi wawake muungano uvunjike

Dawa yake ni TISS na Jeshi wamfungashe virago kama walivyofanya Kwa About Jumbe na Self Shariff Hamad kazi kwao

Wameapa kulinda katiba. Raisi akikiuka katiba wale sahani naye moja without fear or whatever na Mahakama wachachamae majaji wameapa kulinda katiba na wabunge wachachamae bungeni wameapa kulinda katiba huyu mama anasigina katiba adhibitiwe upesi Kwa spidi ya mwewe
S
 
Back
Top Bottom