Ikulu T
JF-Expert Member
- Aug 21, 2023
- 1,600
- 4,714
Wakili wa shetani na ww kichwani mpo 0Huyo dogo kakariri madesa 😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakili wa shetani na ww kichwani mpo 0Huyo dogo kakariri madesa 😃
Yupo wapi sahivi?
Kama kumi hiviHapa Jamiiforums tumepata memba wangapi kwenye uteuzi huu?
Mkurugenzi anakalishwq na Naibu Katibu Mkuu Bro, sema zile trip za maza ndo zimeota mbawa, atakuwa now safar zake ni rural to chaka!!Bi Zuhura kakwama wapi Ikulu....
Ww lazm uwe kibopa! Upo huku tangu 2009 😂😂 enz hizo tupo 7Kama kumi hivi
Hivi ephen_ uko serious unanikataa mm unaenda na Lucas Mwashambwa ? Hujui kuwa huyu ni jirani yangu mpk maji anatumia toka kwenye bomba langu?Bado mme wa @ephen_ kula uteuzi. Wanawake huwa wana angalia mbali sana na kusoma nyota za wanaume kuwa watakuwa nani mbeleni ndio maana dada yetu amemmomalia Lucas.
Kablahajakaribishwa meza ya chakula alikuwa napiga soga sana tu ila baada ya kuambiwa karibu mezani alipunguza maneno na alipomega tu tonge amenyamaza jumla mpaka atakaponawa na kurudi sitting room kuendelea na sogaAyoib Rioba amefikia muda wa kustaafu, kaongezewa muda wa miaka miwili, nadhani sigara na pombe zimemsaidia.
Ila pia ni critical thinker mwenye imani ya mila za kiafrika zinazosema "hairuhusiwi kuongea wakati wa kula", na kweli, tangu aanze kula, hajaongea kabisa
Nina mchumba wangu nampenda🤸Hivi ephen_ uko serious unanikataa mm unaenda na Lucas Mwashambwa ? Hujui kuwa huyu ni jirani yangu mpk maji anatumia toka kwenye bomba langu?
UmeulaHatimae hatimae
💃💃💃
Kwamba hii ni kubwa kuliko ya Ukurugenzi mjengoni?Huyu mbona kaula tu...
Bora tukose woteNina mchumba wangu nampenda🤸
Rais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali.
View attachment 3010440View attachment 3010441View attachment 3010442
Hii ndiyo awamu ya 6! 😇😇😇😇Kwel JAMAA kala teuzi wakat Kafa
Kule mjengoni ni dili sana hata kama nafasi ni ndogo, ukizingatia yeye alikuwa nafasi ambayo lazima aambatane na bi mkubwa popote aendapoMkurugenzi anakalishwq na Naibu Katibu Mkuu Bro, sema zile trip za maza ndo zimeota mbawa, atakuwa now safar zake ni rural to chaka!!
Hii nchi ina comedy balaaKuna marehemu katokea kwenye mkeka
Wanaopumua bado wanajipendekeza uchawa wateuliwe wapi hahahaha