Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Ayoib Rioba amefikia muda wa kustaafu, kaongezewa muda wa miaka miwili, nadhani sigara na pombe zimemsaidia.

Ila pia ni critical thinker mwenye imani ya mila za kiafrika zinazosema "hairuhusiwi kuongea wakati wa kula", na kweli, tangu aanze kula, hajaongea kabisa
Kablahajakaribishwa meza ya chakula alikuwa napiga soga sana tu ila baada ya kuambiwa karibu mezani alipunguza maneno na alipomega tu tonge amenyamaza jumla mpaka atakaponawa na kurudi sitting room kuendelea na soga
 
Back
Top Bottom