Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Makongoro kawekwa huko ili aomdoke CCM watu wapange yao ma si vinginevyo. Maana ni kati ya watu wenye misimamo.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kwani akiwa mkuu wa Mkoa haingii kwenye vikao vya CCM? Usichokijua ukiwa mkuu wa wilaya na mkoa unakuwa mjumbe wa kamati ya siasa na hapo ndio unaweza kuishi ki ccm vizur zaid.
 
Kuzoea kituo Cha kazi mda mrefu pia ni shida ufisadi unaanzia hapo
 
Kutamuuu kama chachandu kwe mihogo na kambale wa Bagamoyo
 
Kwahiyo kama mtu ana plan zake nzuri zenye manufaa na zishaanza kuzaa matunda kuna dhambi gani akipelekwa sehemu nyingine akawanufaishe huko?
Kama Jokate ashafanya kitu kizur pale Kisarawe na kishaonekana ushamba uko wapi ukimpeleka Kakonko akafanye kama alivyofanya Kisarawe kama ni maendeleo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…