Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Na Kuteseka kwako Kuendelee!
 
Amefanya vyema kutengua mkurugenzi wa UDART kampuni ambayo serikali kwa sasa ina hisa 85% .. lakini mkurugenzi mtendaji wa DART naye anatakiwa kuondolewa haraka iwezekanavyo.

Mkurugenzi mpya wa UDART tunaomba shirika hili liwe public kwa maana lipelekwe DSE wanachi tuqeke mitaji hapo.
 
Huyu mama kajua kuharibu Eid pili wallah, [emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuri vile.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Cocastic unataka kufurahi tu kwa kila uteuzi na utenguzi 🤣🤣🤣

Jana ulicheka ,kufurahi Sana na kumsifu mh.Rais baada ya KUMSIMAMISHA comrade Sabaya 🤣🤣🤣

#NaEidPiliIendelee🤣
 
Amewakomesha mataga..
 
Naona Kafulila na Makongoro wamekumbukwa!

Ally Hapi bado anakumbukwa!

Kulikoni Bosi wa TAKUKURU kupangiwa kazi nyingine!
Taarifa ya CAG tangu isomwe na ndio kazi za TAKUKURU kuchukua hatua ye yupo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…