Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Yaani nimefurahi kumuona mtaka dodoma, big up sana mama

Hii ndio maana halisi ya KAZI IENDELEE





Rais SSH anaendeleza kwelikweli iwe kwa kuteua, kutengua au kuwasimamisha kwa uchunguzi

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan 🙏
 
Mkuu wa JKT Gen Kabuge vipi tena anaondolewa.? Jamaa amesimamia Ujenzi wa ukuta, ujenzi wa Ikulu, na miradi kibao hadi akapandishwa cheo mbele na magufuli.
 
Cocastic unataka kufurahi tu kwa kila uteuzi na utenguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jana ulicheka ,kufurahi Sana na kumsifu mh.Rais baada ya KUMSIMAMISHA comrade Sabaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#NaEidPiliIendelee[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] hebu niache huko na wee khaaah, usinipandishe presha ujue.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Pedeshee Amosi Makalla barizie..barizie belaa mama ukisikia nimekufa usilie bali sherekea..." Dar ya Pedeshee
 
You are right....
consistency hapa ndio wenye akili wanatuacha...
haileti mantik kupangua pangua ....!?
pangua sehemu ambazo hazina performance ya kutosha.....
 
Changamoto changamoto zenyewe ni upinzani au sio?
 
Major Gen mbuge.... Ulaji Jkt Umeishaa daa sasa ni RC.... Kagera:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…