Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Kilimanjaro na dar es laam haikupaswa kuwa hivyo na pia takukuru ilikua vizuri tu, wengine waliobadilishwa binafsi sikua na imani nao.Ki vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilimanjaro na dar es laam haikupaswa kuwa hivyo na pia takukuru ilikua vizuri tu, wengine waliobadilishwa binafsi sikua na imani nao.Ki vipi?
Yaani nimefurahi kumuona mtaka dodoma, big up sana mama
Bado umri hauruhusu.Ww umepata!?
Huyu anastahili View attachment 1785857
Kafanyaje? Au kupelekwa Dom ni kosa.
[emoji23][emoji23][emoji23] hebu niache huko na wee khaaah, usinipandishe presha ujue.Cocastic unataka kufurahi tu kwa kila uteuzi na utenguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jana ulicheka ,kufurahi Sana na kumsifu mh.Rais baada ya KUMSIMAMISHA comrade Sabaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#NaEidPiliIendelee[emoji1787]
You are right....Nipate tabu ya nini, kubadilisha badilisha watu kunaondoa consistency.
Chukulia mtu kama Jokate ana plan zake kibao Kisarawe kesho umtoe umpleke sijui Rukwa si anaenda kuanza upya tena, huyo atakaenda huko ataendeleza legacy zake?
Kubadilisha badilisha watu vituo vya kazi ni mambo ya kishamba tu.
Hapi kupelekwa Tabora hiyo yellow card ana mdomo mchafu mabega yalianza kidogo kupanda ila bado mdogo ana nafasi ya kujifunza maana hujui kesho ikoje hasa katika nafasi za uteuzi na siasa kwa ujumla.Kwani Hapi Anna tatizo gani?
Uzee huendaMtaka ni kichwa sana pale Dodoma atafanya mengi mazuri.
Yule anayeondoka alikuwa baridi sana. Siku zote kanuna tu.
Ole sabaya anacheeeekaAna mgwilla Ameachwa.
TAKUKURU haikupendeza kuwepo JW pale!Naona Kafulila na Makongoro wamekumbukwa!
Ally Hapi bado anakumbukwa!
Kulikoni Bosi wa TAKUKURU kupangiwa kazi nyingine!
Kwa kweli nasema ukweli kabisa kama kungekuwa na bet ningewin maana nilimtabiria kabisa anapelekwa makao makuu kabisa yaani kuona jina lake ni kama niemeshinda bahati nasibu.Mtaka ni kichwa sana pale Dodoma atafanya mengi mazuri.
Yule anayeondoka alikuwa baridi sana. Siku zote kanuna tu.
Huyu Mlevi wa Pombe kali ana misimamo ipi ya kukiyumbisha Chama cha ccm ndani?Makongoro kawekwa huko ili aomdoke CCM watu wapange yao ma si vinginevyo. Maana ni kati ya watu wenye misimamo.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Changamoto changamoto zenyewe ni upinzani au sio?Mama ilimradi tu afanye lolote aongolewe kwa miaka watu walikuwa wanalalama kubadilisha badilisha wakuu wa mikoa na wilaya kunaondoa consistencies ndio maana Magufuli aliwaacha.
Hao watu kwa muda waliokaa wanafahamu changamoto za maeneo yao, plan zilizokuwepo na changamoto za watendaji wao.
Kingine Magufuli for once alijitahidi kuweka wakuu wa mikoa kutokana na maeneo wanayoyafahamu au skills zao ili watatue changamoto kutokana priority wanazozifahamu wao.