Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Kwahiyo ndugu zangu na hii ni sikukuu ya Idi au hii inatia aloe vera sikukuu ya jana?
 
Principal State Attorney Joseph Pande ambaye sasa ni DDPP Naibu Mkurugezi Mkuu wa Mashtaka anauzoefu mkubwa ktk kesi za kisiasa enzi za mwendazake, hivyo atapitia mafaili yote sasa yenye kesi zisizotakiwa kuwepo mahakamani

Rejea :






Kazi (purge)inaendelea. Post-Magufuli-purge lazima itaingia katika baraza lililorithiwa toka kwa Magufuli, hakuna namna ili "kazi" anayoitaka Mh. Rais iendelee.

Haya tunayoyaona na kuwasikia ni moshi unaofuka bado moto ulipuke na kuunguza 'masalia' ya viongozi wa juu pamoja na mawaziri ambao staili yao bado wanakigugumizi cha kumkumbali Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kuwa ndiyo bosi wao.

Hakuna namna naona wana CCM Asilia wanaendelea kusafisha chama na serikali yao toka kwa makucha ya CCM Mpya / Wakuja walioharibu misingi na ideology ya "binadamu wote ni sawa na nitasema kweli daima hata kwa kumkosoa bosi ".

Maana ya neno purge ktk mfumo : "he purged all but 26 of the central committee members" or remove (a group of people considered undesirable) from an organization

Au kwa wale waliofanikiwa kuona movie inaitwa The Purge msingi wake plot katika sinema 'The Purge' is a fictitious 'civic tradition' embedded in America's constitution by a political party that goes by the name of “The New Founding Fathers of America”. Their rise to power was during a financial collapse where poverty, crime, and national debt was at its highest.
 
Mama ilimradi tu afanye lolote aongolewe kwa miaka watu walikuwa wanalalama kubadilisha badilisha wakuu wa mikoa na wilaya kunaondoa consistencies ndio maana Magufuli aliwaacha.

Hao watu kwa muda waliokaa wanafahamu changamoto za maeneo yao, plan zilizokuwepo na changamoto za watendaji wao.

Kingine Magufuli for once alijitahidi kuweka wakuu wa mikoa kutokana na maeneo wanayoyafahamu au skills zao ili watatue changamoto kutokana priority wanazozifahamu wao.
Unapata taabu sana kutoka wapi mkuu!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unapata taabu sana kutoka wapi mkuu!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipate tabu ya nini, kubadilisha badilisha watu kunaondoa consistency.

Chukulia mtu kama Jokate ana plan zake kibao Kisarawe kesho umtoe umpleke sijui Rukwa si anaenda kuanza upya tena, huyo atakaenda huko ataendeleza legacy zake?

Kubadilisha badilisha watu vituo vya kazi ni mambo ya kishamba tu.
 
Back
Top Bottom