Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Chadema ni chama cha siasa.. chadema sio brach ya ccm kama vilivyo vyama vingine.
Vipi wapinzani kina Mbowe mbona siwaoni kwenye teuzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi wapinzani kina Mbowe mbona siwaoni kwenye teuzi?
Kabisa kwasababu hawaingiliki kabisa na ni watu wa kunyoosha.TAKUKURU haikupendeza kuwepo JW pale!
wamtoe hata wa MSD
We jamaa RC ana plan gani zaidi ya kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama ? Experience na skillz gani mkuu RC, DC RAS,DAS DED ni presidencial appointees hamna skillz pale wala knowledgeMama ilimradi tu afanye lolote aongolewe kwa miaka watu walikuwa wanalalama kubadilisha badilisha wakuu wa mikoa na wilaya kunaondoa consistencies ndio maana Magufuli aliwaacha.
Hao watu kwa muda waliokaa wanafahamu changamoto za maeneo yao, plan zilizokuwepo na changamoto za watendaji wao.
Kingine Magufuli for once alijitahidi kuweka wakuu wa mikoa kutokana na maeneo wanayoyafahamu au skills zao ili watatue changamoto kutokana priority wanazozifahamu wao.
Mama huwa anakosea akija kwenye masahihisho usije kusikia usiku tangazo la red card watu mpaka waone kweli wanaapishwa unaweza kusikia sms jina lilikosewa.Huyu aendelee kuwatukana wastaafu. Samia nimeanza kuwa na mashaka naye. Huyu kumbe bure, tumeliwa kabisa
Mna demka wenyewe huko CCMSi mlikuwa mnademka hapa kwamba Mama anaanza kuwateua toka huko?
QUEEN Sendiga huyo kiongozi Wa chama cha ADC na Mgombea Uraisi wa ADC 2020 kachaguliwa mkuu wa mkoa wa IRINGAAlisema atateua mpaka Wapinzani, Kulikoni ¿
Hapi Anna, ndio nani mkuu?Kwani Hapi Anna tatizo gani?
Mkuu haina haja ya kutaja jina, ww fatilia comments utawajua tu wanavyolalamika.Ninani huyo
Nenda kawaulize wakuu wa mikoa mingine ni namna gani Mtaka aliweza kuwekeza kwenye miundombinu Simiyu mpaka wakawa wanaenda kuomba ushauri kwake.We jamaa RC ana plan gani zaidi ya kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama ? Experience na skillz gani mkuu RC, DC RAS,DAS DED ni presidencial appointees hamna skillz pale wala knowledge
Tabora atamkemee nani wazee ma mwinyi wale wanyoshee kidole kama hujakuta siku ya pili kidole kimekatika. Kule umwinyi tu na kuowa maendeleo hayawahusu wale.Tabora njaa.. labda atakula tumbaku.
Mtaka - DodomaAmos Makalla amerudishwa ulingoni,
Mtaka sijamuona.
Karibu Dar mh Makalla
Akilewa anawashika wanawake makalio kwa nguvuMakongoro nilimuona sana pale May fair kawe miaka ya nyuma.
Ni mwanachama wa miaka mingi wa “vyombo”.
moja ya best RC ever. antony mtaka. tofauti na wengine he was smart, ana solve matatizo bila kelele mingi.Nenda kawaulize wakuu wa mikoa mingine ni namna gani Mtaka aliweza kuwekeza kwenye miundombinu Simiyu mpaka wakawa wanaenda kuomba ushauri kwake.
Ina maana wengine wana umri mdogo kumzidi. Sema ameamua kumtupa kando labda kuna jmbo hawakuelewanaamestaafu
Leo. Mepigwa za usoMna demka wenyewe huko CCM
QUEEN Sendiga huyo kiongozi Wa chama cha ADC na Mgombea Uraisi wa ADC 2020 kachaguliwa mkuu wa mkoa wa IRINGA
View attachment 1785908
Ile ilikuwa amri kutoka juu lakini Makalla hakutaka ile kitu ndio chanzo ya mengine kumpiga fitna mpaka kura za maoni ubunge alipita wakamkata huko ila nazani Mama anajuwa story hii anajuwa jamaa hana makosa.Jamaa ni mtu poa. Kuna ishu tu nina mashaka nae ya Sugu kufungwa maana wakati ule alikuwa RC Mbeya
Ila hakuna chochote walichofanya zaidi ya kupambana na wapinzani.Mama ilimradi tu afanye lolote aongolewe kwa miaka watu walikuwa wanalalama kubadilisha badilisha wakuu wa mikoa na wilaya kunaondoa consistencies ndio maana Magufuli aliwaacha.
Hao watu kwa muda waliokaa wanafahamu changamoto za maeneo yao, plan zilizokuwepo na changamoto za watendaji wao.
Kingine Magufuli for once alijitahidi kuweka wakuu wa mikoa kutokana na maeneo wanayoyafahamu au skills zao ili watatue changamoto kutokana priority wanazozifahamu wao.
hapana. ila muda wa kiutumishi. kastaafu kisheria.Ina maana wengine wana umri mdogo kumzidi. Sema ameamua kumtupa kando labda kuna jmbo hawakuelewana