Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Mama ilimradi tu afanye lolote aongolewe kwa miaka watu walikuwa wanalalama kubadilisha badilisha wakuu wa mikoa na wilaya kunaondoa consistencies ndio maana Magufuli aliwaacha.

Hao watu kwa muda waliokaa wanafahamu changamoto za maeneo yao, plan zilizokuwepo na changamoto za watendaji wao.

Kingine Magufuli for once alijitahidi kuweka wakuu wa mikoa kutokana na maeneo wanayoyafahamu au skills zao ili watatue changamoto kutokana priority wanazozifahamu wao.
We jamaa RC ana plan gani zaidi ya kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama ? Experience na skillz gani mkuu RC, DC RAS,DAS DED ni presidencial appointees hamna skillz pale wala knowledge
 
Huyu aendelee kuwatukana wastaafu. Samia nimeanza kuwa na mashaka naye. Huyu kumbe bure, tumeliwa kabisa
Mama huwa anakosea akija kwenye masahihisho usije kusikia usiku tangazo la red card watu mpaka waone kweli wanaapishwa unaweza kusikia sms jina lilikosewa.
 
MWANZA poleni sana bakoraa zinakujaaa 😅 😅 😅 😅 😅 KAFULILAA hatimae kaulambaaa… Jamani Sukuma ndani ndo kusema hawezi kazi au😭😭 BASHITE aendelee kujiajiriii.. Pongezi kwa kukumbuka familia ya NYERERE... Ila ALLY HAPPY ana bahati ya mtendee.
 
Alisema atateua mpaka Wapinzani, Kulikoni ¿
QUEEN Sendiga huyo kiongozi Wa chama cha ADC na Mgombea Uraisi wa ADC 2020 kachaguliwa mkuu wa mkoa wa IRINGA

1621009964543.png
 
We jamaa RC ana plan gani zaidi ya kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama ? Experience na skillz gani mkuu RC, DC RAS,DAS DED ni presidencial appointees hamna skillz pale wala knowledge
Nenda kawaulize wakuu wa mikoa mingine ni namna gani Mtaka aliweza kuwekeza kwenye miundombinu Simiyu mpaka wakawa wanaenda kuomba ushauri kwake.

Tazama Kisarawe inavyoanza kupata attention siku hizi ambazo azikuwepo, kawaulize wafugaji sikuhizi kupeleka mifugo Ruaha mbugani upande wa Mbeya chini ya Chalamila kama ni jambo la busara.
 
Nenda kawaulize wakuu wa mikoa mingine ni namna gani Mtaka aliweza kuwekeza kwenye miundombinu Simiyu mpaka wakawa wanaenda kuomba ushauri kwake.
moja ya best RC ever. antony mtaka. tofauti na wengine he was smart, ana solve matatizo bila kelele mingi.
kupelekwa dodoma ni upgrade
 
Jamaa ni mtu poa. Kuna ishu tu nina mashaka nae ya Sugu kufungwa maana wakati ule alikuwa RC Mbeya
Ile ilikuwa amri kutoka juu lakini Makalla hakutaka ile kitu ndio chanzo ya mengine kumpiga fitna mpaka kura za maoni ubunge alipita wakamkata huko ila nazani Mama anajuwa story hii anajuwa jamaa hana makosa.
 
Mama ilimradi tu afanye lolote aongolewe kwa miaka watu walikuwa wanalalama kubadilisha badilisha wakuu wa mikoa na wilaya kunaondoa consistencies ndio maana Magufuli aliwaacha.

Hao watu kwa muda waliokaa wanafahamu changamoto za maeneo yao, plan zilizokuwepo na changamoto za watendaji wao.

Kingine Magufuli for once alijitahidi kuweka wakuu wa mikoa kutokana na maeneo wanayoyafahamu au skills zao ili watatue changamoto kutokana priority wanazozifahamu wao.
Ila hakuna chochote walichofanya zaidi ya kupambana na wapinzani.
 
Ina maana wengine wana umri mdogo kumzidi. Sema ameamua kumtupa kando labda kuna jmbo hawakuelewana
hapana. ila muda wa kiutumishi. kastaafu kisheria.
halaf yule mama age imesogea sana.

hakuna cha kutupwa pembeni
 
Back
Top Bottom