Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Wakuu mimi si mjuzi wa kila kitu hivyo vingine nitoe kwenu Wajuzi.
Je, anacho fanya Rais Samia suluhu ni uteuzi au uhamisho wa kazi.
Kwa jinsi nilivyo ona ni kua taarifa zinatoka hivi.
"Rais Samia amemteua Fulani kua mkuu wa mkoa fulani, akichukua nafasi ya fulani aliye hamishiwa mkoa fulani. Awali fulani alikuwa mkuu wa mkoa fulani"
Je, huo ni uteuzi au uhamisho. Maana ukiangalia uteuzi kafanya kwa wachache kama Sendinga ila wengine naona kama uhamisho tu.
Tujuzane kwa hilo.
 
hivi wakuu PCCB si sio taasisi ya MUUNGANO why mzanzibar aiongoze.kule znz wao wana ZAECA.Naona kwa mbali huyo DG mpya wa PCCB anakuja kumrithi IGP SIRO,mana kasharushwa cheo kutoka ACP TO CP.kuna cheo cha SACP kakiruka hapo.i think hyo ndo IGP mpya after SIRO
Hamdun ni mnyamwezi wa Tabora
 
Napongeza kuteuliwa kwa Joseph Sokoine kuwa katibu mkuu mambo ya nje ambaye aliwahi kuwan balozi wa Tanzania EU, Belgium na kutenguliwa na marehemu mwendazake aliyedhani ataishi milele kwa sababu alikwenda kumtembelea Lissu hospitalini Ubelgiji
Hakuna siku nimefurahi kama leo,balozi Sokoine da!
 
Exactly Magufuli alikuwa anaweka watu kwa sababu wanayajua hayo maeneo au kwenda kutatua changamoto sugu kutokana na skills zao.
Diplomats: Anataka kukuvua cheo ila hataki kuonekana mbaya. Anakupa kazi au sehemu usiyoiweza halafu poor performance inakutoa.
 
Mkoa wa Iringa ni moja ya mikoa mikubwa katika kilimo wazalishaji wakubwa tu, Huyu kijana kuna kipindi kauli zake za kibabe kufokea watu wewe mtumishi wa watu tatua shida za watu mbona mama kimya kimya tu lakini shughuli yake unaiona.
Umeshawahi kufika Tabora?
Iringa ndiyo inalisha Tabora?
Hizi dharau kwa mikoa mingine mnazitoaga wapi?
 
hivi wakuu PCCB si sio taasisi ya MUUNGANO why mzanzibar aiongoze.kule znz wao wana ZAECA.Naona kwa mbali huyo DG mpya wa PCCB anakuja kumrithi IGP SIRO,mana kasharushwa cheo kutoka ACP TO CP.kuna cheo cha SACP kakiruka hapo.i think hyo ndo IGP mpya after SIRO
Elewa, hii ni Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Yaani vyote vilivyomo vinahusu nchi mbili zilizounda Muungano.
Hayo unayotaka ndiyo hoja inayowafanya wazanzibari wadai serikali tatu.
Kukiwa na serikali tatu hutakuja kuona mzanzibari anaongoza nchi ya Tanganyika wala taasisi zake.
 
Back
Top Bottom