Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

CCM hawajawahi kuacha Drama.
JIWE kaharibu hii nchi na yeyote atakaye jaribu kurudisha misingi ya awali atalaumiwa na kutukanwa.
NCHI IMEKUWA CHAFU sawa na choo cha stendi: Machinga wamepanga biashara barabarani, kila kona, service road, wameacha masoko tupu, watanzania tumekuwa kama ngombe, mtu anakula ugali barabarani hata kuku hawezi fanya hivyo, uchafu uchafu.

KIKWETE mzee wa msoga was very smart, unaweza fikiri mzungu, Mungu ampe miaka tujifunze kwake.
Nchi ilikabidhiwa kwa mshamba imekuwa hovyo kabisa.
 
Hizi nchi zilizolaaniwa zina vituko sana.
Huyu mama amekuwa ni mtu wa kutembelea masoko na vituo vya afya vya Dar tu. Huyu mama tungempa urais wa Dar sio wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Supa huyo jiwe hakufaa chochote
 

Leo mama kanifuraisha sana yani , kama akiendelea hivi , Mwaka 2025 ntampigia debe, sio kuingia tu ikulu mtu unajikuta Mungu mtu hata raia zako hutaki kuwajulia hali

Zile mbwa zilizokua zinapinga ziara za raisi zije tena hapa ziongee mxieew. Leo mama kanifuraisha sana
 
Ameenda ndiyo, lakini hajasolve kitu. She is more of a problem that the real problem itself. Ukiona na kusikiliza anavyohoji na kubabaika, kwa mbali unamsikia JPM kule Dodoma akisema, ^Brigedia, hapa tumepigwa!^

Hata mimi nimeona maswali yake ni kama anajifunza kitu au anafanya kitu hili aonekane anafanya lakini si kutoka moyoni. Kazi ya uraisi na personality ya mama ni vitu viwili tofauti , ako slow sana
 
Very very weak!

She likes to be a MAMA than a commander in chief!

Vile anavyojilegeza mbele ya MAJIZI na WAKWEPA KODI inanipa mashaka sana kama anaiweza kazi yake!

Hapo tu ndo anaponikera, eeh Mungu Sijui kwa nini kamchukua magufuli, yule Baba aliogopewa hadi na wachawi, mama ako soft sana mpaka anaboa, raisi hatuna
 

Una maono makali sana binamu , tukubali tu hapa raisi hatuna basi
 
Mama la Mama Mungu amjalie maisha marefu tulitishwa sana! na Bwana yule huku akitafuna maindi na kutamanisha wana nchi wenye njaa!

Kama hadi kula mahindi kwako ni luxury kweli una maisha magumu sana ndugu yangu, pole
 
Haha........

Sidhani hata kama yeye mwenyewe anafurahia kuwa Rais.

She looks weak, devastated, defeated and frustrated.

Mmemvalisha viatu vizito sana!

Anaburuza tu miguu mradi tufike.

We Jamaa una akili sana, unaona mbali sio kama misukule mingine inasifia upuuzi tu
 
Angekuwa Mwendazake hapo,angeenda na fuko la hela,na kugawia watu waliopangwa...sanaa bin usanii.
 
Raha ya ziara ya kushtukiza iondoke na mtu.

Kama mtu hajatumbuliwa basi kapoteza muda na fedha. Arudi ofisini.

Rais atakuwa kila akienda mahala anaunda tume za uchunguzi lakini matokeo ya chunguzi hizo hatuambiwi!!! BOT report yake ya uchunguzi wa CAG imetoka?
Ndio imekuwa staili ya mawaziri wake nao wanaiga; kama Ndumbalo nae aliunda tume kuchunguza ubadhilifu pale board ya Utalii ameishia kuwaambia aliowasimamisha kuwa waendelee na kazi kama kawaida mapendekezo ya tume aliyoiunda yatafuata baadae!!! Kwahiyo hizo tume za uchunguzi zimekuwa kama kiini macho ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…