Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Well and good.
Lakini kwa jinsi hawa wakandarasi wetu wa Kiswahili walivyo wababaishaji — Bila kuwakimbiza na kuwarusha kichura chura hatuwezi kufika popote!
Na sio tu kwa wakandarasi, lakini hata maofisini kwenye taasisi za umma, waswahili ni wababaishaji mno wanahitaji kupelekwa kwa kasi na kwa shinikizo.
Without some heavy reinforcement, you will achieve nothing.
Wabongo ^Wajeremani^ waliwazoeza mjeledi