Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

Kawaziba midomo MATAGA kuwa hatoki ofisini hahahahaa shenzi kabisa
MATAGA wote akili zao ni kama za huyu kada mwaminifu.
kigogo__2014-___CPiUkslH23b___-.jpg
 
Wanataka wamuone Rais wa sasa akiwa anawatukana wakurugenzi na mawaziri ndio wajue kuwa yupo makini kazini.
JUMONG yupo makini na anafuata utawala wa sheria, kama mtu anatuhumiwa basi anasimamishwa na kuchunguzwa tofauti na jiwe alikuw anapambana na wachagga na bila hata kuchunguza.
Mfano BASHITE ndiye mhusika mkuu wa kumtanguliza WILSON KABWE ahera, mzee wa watu alipata mshtuko mpaka akafa
 
Kumekucha hukoooo
Tunaunda tume kujua kwanini Soko la Kariakoo limezungukwa na mabanda ya mabati na watu wengine wanlala na kupikia huko, lazma tujue na ni nani aliruhusu, hata kama amekufa kaburi lake lichapwe.
 
Back
Top Bottom