Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar


Wabongo ^Wajeremani^ waliwazoeza mjeledi
 

Hata ingetoka leo, hawezi kumwajibisha mtu huyu Bi Mkubwa
 
Ni jambo jema mama amefanya tunataka Nchi isonge mbele, kwan tulicheleweshwa mno,au nasema uongo ndugu zangu
Hii nchi ilikuwa shamba la bibi.TUMEPIGIWA SANA.Mama kapokea nchi ikiwa vipande vipande
 
Rais wa nchi anakosa kazi ya kufanya yenye maslahi mapana kwa taifa, anaenda kutembelea "soko"

Kama Rais mzima utaenda kutembelea "soko", Je, Mkuu wa Wilaya atafanya nini??
Mkuu wa Mkoa atafanya nini??
Na Mstahiki Meya wa Jiji naye atafanya kazi gani???
 
Inapendeza, ila watu wa usalama nimewaona wengi sana hapo...
 
Yeye haendi bandarini kama mwendazake?
hajaenda lakini kinachofanyika mmekiona kupitia vyombo vya habari jana (hususani ITV)......wengine wametembelea lakini hawakuona. alisema tusione macho yake yamesinzia tukadhani hayaoni mbali. kama upo makini unaweza kuona shughuli zinavyoenda kimya kimya!!!
 
Kushtukiza vipi tangu jana eneo liko secured na tiss police jeshi etc ? Kote kote kulikuwa secured na fully scanned leo unasema kushtukiza ? Tuacheni banaa sisi sio watoto bana
 
Tusimlaumu sana mama , ingawaje amekaa muda mrefu serikalini bado uwezo wake ni mdogo , Hana data yeyote kuhusu kina choendelea nchini , huu ni muda mzuri wa kupiga pesa, anaonekana amechoka muda wote!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…