JUMONG yupo makini na anafuata utawala wa sheria, kama mtu anatuhumiwa basi anasimamishwa na kuchunguzwa tofauti na jiwe alikuw anapambana na wachagga na bila hata kuchunguza.
Mfano BASHITE ndiye mhusika mkuu wa kumtanguliza WILSON KABWE ahera, mzee wa watu alipata mshtuko mpaka akafa
Tunaunda tume kujua kwanini Soko la Kariakoo limezungukwa na mabanda ya mabati na watu wengine wanlala na kupikia huko, lazma tujue na ni nani aliruhusu, hata kama amekufa kaburi lake lichapwe.