Pre GE2025 Rais Samia afunguka ya Moyoni: Kuna waliosema tuna Rais wa kuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party, hatuna Rais tuna House girl…

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anaona kila kitu kipo sawa wanamdangana sana wasaidizi Wake
Wanamdanganya au anajidanganya mwenyewe ??

Smartfone Hana aingie ground aone watu wanavyotema nyongo na wasivyomtaka!!

Ukweli mchungu ni kwamba Tanzania haijafikia level za kuongozwa na mwanamke!!

Nchi iliyojaa watu wajanja wajanja haiwezi kuongozwa na mwanamke kamwe mfano ni Marekani tu hapo unaona wanavyokwepa huo mtego!!

Samia Kama anajiamini alete tume huru na katiba mpya alafu aende ground kutafuta urais akiupata aniite mbwa!!!
 
1740037196243.jpg
 
Wayahudi hawakutaka kabisa kuhesabu wanawake na watoto, makabila yetu mengi wanaonwa kwa namna tofauti, dini zetu zingine zinawatenga kabisa wanawake. Hili jambo limetoka mbali mno, haliwezi kuondoka kirahisi.
 
Rais Samia afunguka ya Moyoni kuhusu kauli za Wahafidhina wa mfumo dume ambao hawakuwa na imani naye wakati anachukua nafasi ya Urais na waliothubutu kusema "Tuna Rais wakuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party" wakati akizungumzia nafasi ya Mwanamke katika Uongozi katika Siasa.

Akishiriki Madhimisho ya Miaka 10 ya Programu ya Mwanamke Kiongozi katika Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam, leo tarehe 21 Februari,2025, Samia amesema;

"Hapa nataka kusema ya Moyoni, kwenye wahafidhina wa mfumo dume kwamba wakati ule hakukua na imani kabisa, hakukua na imani au kuamini kwamba yule mwanamke anaweza kufika hapa [hakukua..]"

"Kuna waliothubutu kusema tuna Rais wakuambiwa fanya tu na atafanya. Kuna waliothubutu kusema hatuna Rais tuna House girl. Kuna waliothubutu kusema maamuzi ya Kitchen Party, yale ambayo nilikuwa nafanya"

Soma, Pia: Rais Samia: Nafasi ya Uongozi unayoipata Mwanamke isiwe sababu ya kuharibu familia

Hii haikubaliki kabisaa.

Bibi eee tutajie hao watu waliosema hivyo tuhangaike nao.
 
Huyu mama Yao na chawa anaona kabisa Nchi Iko vizuri?Haya ni maajabu ya Dunia.Anavyopuyanga namna hii lakini Bado haoni kama anapuyanga?
 
Rais Samia afunguka ya Moyoni kuhusu kauli za Wahafidhina wa mfumo dume ambao hawakuwa na imani naye wakati anachukua nafasi ya Urais na waliothubutu kusema "Tuna Rais wakuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party" wakati akizungumzia nafasi ya Mwanamke katika Uongozi katika Siasa.

Akishiriki Madhimisho ya Miaka 10 ya Programu ya Mwanamke Kiongozi katika Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam, leo tarehe 21 Februari,2025, Samia amesema;

"Hapa nataka kusema ya Moyoni, kwenye wahafidhina wa mfumo dume kwamba wakati ule hakukua na imani kabisa, hakukua na imani au kuamini kwamba yule mwanamke anaweza kufika hapa [hakukua..]"

"Kuna waliothubutu kusema tuna Rais wakuambiwa fanya tu na atafanya. Kuna waliothubutu kusema hatuna Rais tuna House girl. Kuna waliothubutu kusema maamuzi ya Kitchen Party, yale ambayo nilikuwa nafanya"

Soma, Pia: Rais Samia: Nafasi ya Uongozi unayoipata Mwanamke isiwe sababu ya kuharibu familia

Endapo kama ningekuwa na accessibility ya kuweza kuonana naye face to face, ningeweza kumshauro kwamba ili kulinda heshima yako katika nchi hii na duniani kote kwa ujumla, Basi yafaa angekaa pembeni ili ale pensheni yake kwa Uhuru wa raha mustarehe!
Aachane kabisa na Mambo haya ya Siasa!
 
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu amesema wakati anachukua kijiti cha Urais kuna baadhi ya Watu (Wahafidhina wa Mfumo Dume) hawakuamini kwamba Mwanamke anaweza kuwa Rais na akaongoza vizuri na kwamba wapo walioenda mbali na kusema hatuna Rais tuna House Girl na maamuzi yake ni ya kitchen party lakini kwa sasa kwa kazi nzuri aliyofanya, Watu hao wote wamebadili mitazamo yao na wamekubali kuwa inawezekana Mwanamke akaongoza kiti cha Urais vizuri.

Rais Samia amesema hayo leo February 21,2025 wakati akiongea kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 ya Programu ya Mwanamke Kiongozi yaliyofanyika Jijini Dar es salaam.

Rais Samia amesema

Bakari amesema kuna wakati kunja speech yako tuambie ya moyoni, hapa nataka kusema ya moyoni, kwenye Wahafidhina wa Mfumo Dume, wakati ule hakukuwa na imani kabisa, hakukuwa na imani au kuamini kwamba yule Mwanamke anaweza kufika hapa, kuna waliothubutu kusema tuna Rais wa kuambiwa fanya tu na atafanya, kuna waliothubutu kusema hatuna Rais tuna House Girl, kuna waliothubutu kusema maamuzi ya kitchen party yake ambayo nilikuwa nafanya, kwahiyo unaweza kuona imani ya wenzetu anaposimama Mwanamke”

“Lakini leo nadhani wote wamebadilika, kwahiyo unapotaka kuondoa na kujenga imani kwa wenye mtazamo mwingine fanya yale yanayotarajiwa ili yaleta imani na kuaminiwa, tumefanya yaliyotarajiwa na sasa yule House Girl hayupo tena, maamuzi ya kitchen party hayapo tena yanakuwa ya maana sasa”

“Kwahiyo Wanawake wasomi na Viongozi wenzangu tambueni kuwa jitihada za kuendelea kuielimisha Jamii yetu kufahamu kwamba usawa wa kijinsia sio mapambano ya Wanawake kutaka kuwa juu ya Wanaume hapana, bali ni hitajio la Ibara ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungani wa Tanzania isemayo Binadamu wote huzaliwa huru na wote ni sawa, kinachotutofutisha mbele ni malezi na makuzi”

Samia anafaa kuwa Rais hadi 2040,akitoka tumpe Abdul, watatuvusha mbali sana sana.
 
Mwaka huu tutakuwa na uchaguzi mkuu, kila Mtanzania yuko huru kutoa mtazamo wake, karibuni mtoe maoni yenu.

Back
Top Bottom