ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
- #21
Wewe ndio muongo na hater.Onyesha hizo propaganda?Uongo.awamu ya kipuuzi sana hii.imejaa propaganda za kijinga zinazoongozwa na walamba matrakle ya huyo chizi wao.Sisi tunaofanya shughuli ya kwenye madini tunayajua madudu ya samia kwenye sekta hii.kila tunapogundua madini tunafukuzwa kwa kigezo cha wawekezaji wazawa ambao hukata leseni na kuingia mkataba na wachina na kuwafukuza wananchi walio wengi na kuwanufaisha wachina kwa mgongo wa wawekezaji uchwara wa ndani wasio na uzalendo.Samia kaweka sheria za ajabu sana kwenye sekta ya madini.Yaani watu wagundue madini halafu mafisadi wa samia wakate leseni ya madini na kuwafukuza wakaza halafu hao mafisadi wawakodishe wachine wanufaike! Nchi imeoza kabisa