green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Hamna lolote kwani kawatoa buchani siporini hukohukoSamia kawapa Wahadzabe kitoweo cha Nyumbu ishirini ili kesho wasiende kuwinda wahesabiwe
Raisi mkarimu sana tofauti kabisa na Jinamizi .
Kumbuka Wahadzabe ni Kabila linalotoweka katika Ardhi kama juhudi za Serikali hazitafanyika.
Of what use kuhesabiwa? We have been "counted"/censored from time immemorial, without any tangible use of those demographic figures! Rubbish!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kujitokeza kuhesabiwa na kutoa ushirikiano wa kutosha kwa zoezi la Sensa linalotarajiwa kufanyika tarehe 23 Agosti 2022 ikiwa ni sensa ya Sita kufanyika katika Tanzania huru huku akieleza kuwa matokeo ya awali yatatolewa mwezi Oktoba mwaka huu.
Katika ujumbe wake kwa watanzania alioutoa kupitia vvyombo vya habari usiku wa leo Jumatatu tarehe 22 Agosti 2022 (Saa chache kabla ya zoezi la Sensa) Rais Samia amewakumbusha Watanzania umuhimu wa kutoa taarifa sahihi kwani taarifa hizo ni muhimu kwa mipango ya maendeleo ya taifa na amewatoa hofu watanzania akieleza kuwa kila taarifa inayokusanywa itatunzwa kwa mujibu wa sheria kwani ni kosa kisheria kwa karani wa Sensa kutoa taarifa yoyote aliyoikusanya.
Rais Samia ameeleza kuwa kutokana na ukubwa wa nchi yetu, makarani hawatoweza kuwafikia watu wote kwa siku moja hivyo amewasihi wale wote ambao hawatofikiwa siku ya kwanza ya Sensa (23 Agosti 2022) kutunza kumbukumbu za wale wote watakaolala katika kaya usiku wa kuamkia siku ya sensa ili kuwezesha taarifa hizo kutolewa kwa usahihi pale ambapo makarani watafika.
Kwa mara ya kwanza Sensa ya mwaka huu itajumuisha ukusanyaji wa takwimu za majengo yote nchi nzima hivyo kuwezesha upatikanaji wa taarifa sahihi juu ya ubora wa makazi ya wananchi. Kukamilika kwa zoez hili kutaifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuunganisha sensa ya watu na makazi.
Rais Samia pia amewasisitiza wananchi kutowaficha watu wenye ulemavu kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mila potofu kwani kufanya hivyo kutaikwamisha Serikali kupanga kwa usahihi namna ya kuwahudumia watu hao.
Kwa kawaida sensa hufanyika kila baada ya miaka 10, ambapo kwa miaka ya nyuma imewahi kufanyika mwaka 1967, 1978, 1988, 2002, 2012 na kumbukumbu zaidi zinaonesha kuwa kabla ya uhuru, kwa upande wa Tanganyika Sensa ilifanyika mara 5 (Mwaka 1913, 1921, 1931, 1948 na 1957 huku Zanzibar wakifanya sensa mara moja tu mwaka 1958 ingawa sensa za kabla ya uhuru zilikosa vigezo vingi vya kisayansi.
View attachment 2331605
akili za bongofleva! kama walivyosema wakenyaRais wetu Ni akili kubwa Ndio maana unaona Mambo makubwa yakifanyika katika uongozi wake
CCM NI [emoji117][emoji90]We dogo acha ujinga. Usidhani humu kila mtu mtoto mwenzako.
Mode fungieni hawa watoto. Huyu tangu asubuhi anatuma vitu vya ajabu tu
Maccm na wapinzani wote wajinga
Kweli ni akili kubwa. Tozo hizi na mpangilio wake zinahitaji akili kubwa
Uwe na heshima kwa mh Rais wetu, huyo ndio Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, ndie pia mteuaji wa viongozi mbalimbali na hawezi kushikiwa akili na mtu,
Wewe hata kwa wazazi wako huma adamu unalazimisha watu wawe na adabu kwa huyu kilaza wa tozo? Peleka upiluuzi wako huko!Naona unaandika tu mradi umeandika, yaani kwa upeo wako unazani Ni Jambo gani ambalo mh Rais Hana ufahamu nalo, kikundi gani kinacho mpelekesha mh Rais, naona hata kukujibu hustahili kujibiwa maana umeongea bila adabu na heshima kwa mh Rais, umeandika Kama mtu ambaye Hana malezi ya wazazi wake
Jpm hakwenda hata njee siku MojaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kujitokeza kuhesabiwa na kutoa ushirikiano wa kutosha kwa zoezi la Sensa linalotarajiwa kufanyika tarehe 23 Agosti 2022 ikiwa ni sensa ya Sita kufanyika katika Tanzania huru huku akieleza kuwa matokeo ya awali yatatolewa mwezi Oktoba mwaka huu.
Katika ujumbe wake kwa watanzania alioutoa kupitia vvyombo vya habari usiku wa leo Jumatatu tarehe 22 Agosti 2022 (Saa chache kabla ya zoezi la Sensa) Rais Samia amewakumbusha Watanzania umuhimu wa kutoa taarifa sahihi kwani taarifa hizo ni muhimu kwa mipango ya maendeleo ya taifa na amewatoa hofu watanzania akieleza kuwa kila taarifa inayokusanywa itatunzwa kwa mujibu wa sheria kwani ni kosa kisheria kwa karani wa Sensa kutoa taarifa yoyote aliyoikusanya.
Rais Samia ameeleza kuwa kutokana na ukubwa wa nchi yetu, makarani hawatoweza kuwafikia watu wote kwa siku moja hivyo amewasihi wale wote ambao hawatofikiwa siku ya kwanza ya Sensa (23 Agosti 2022) kutunza kumbukumbu za wale wote watakaolala katika kaya usiku wa kuamkia siku ya sensa ili kuwezesha taarifa hizo kutolewa kwa usahihi pale ambapo makarani watafika.
Kwa mara ya kwanza Sensa ya mwaka huu itajumuisha ukusanyaji wa takwimu za majengo yote nchi nzima hivyo kuwezesha upatikanaji wa taarifa sahihi juu ya ubora wa makazi ya wananchi. Kukamilika kwa zoez hili kutaifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuunganisha sensa ya watu na makazi.
Rais Samia pia amewasisitiza wananchi kutowaficha watu wenye ulemavu kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mila potofu kwani kufanya hivyo kutaikwamisha Serikali kupanga kwa usahihi namna ya kuwahudumia watu hao.
Kwa kawaida sensa hufanyika kila baada ya miaka 10, ambapo kwa miaka ya nyuma imewahi kufanyika mwaka 1967, 1978, 1988, 2002, 2012 na kumbukumbu zaidi zinaonesha kuwa kabla ya uhuru, kwa upande wa Tanganyika Sensa ilifanyika mara 5 (Mwaka 1913, 1921, 1931, 1948 na 1957 huku Zanzibar wakifanya sensa mara moja tu mwaka 1958 ingawa sensa za kabla ya uhuru zilikosa vigezo vingi vya kisayansi.
View attachment 2331605
Mheshimu mh Rais wetu hata Kama Mimi utanitukana lakini Rais wa nchi mpe heshima yake, unaweza ukachangia mawazo yako bila kumtukana Wala kudhalilisha mtu na ujumbe wako ukafika, jifunze kuwa na heshima kwa watu, jifunze kuwa mstaarabu hata kwa watu unaotofautiana nao, jifunze kuwa mvumilivu hata kwa usiokubaliana nao kimtizamo, Jenga hoja bila matusiWewe hata kwa wazazi wako huma adamu unalazimisha watu wawe na adabu kwa huyu kilaza wa tozo? Peleka upiluuzi wako huko!
We jamaa mbishi sana.Hamna lolote kwani kawatoa buchani siporini hukohuko
Unataka tumweshimu zaidi ya bianadamu wengine? Kwenda zako chawa wewe!Mheshimu mh Rais wetu hata Kama Mimi utanitukana lakini Rais wa nchi mpe heshima yake, unaweza ukachangia mawazo yako bila kumtukana Wala kudhalilisha mtu na ujumbe wako ukafika, jifunze kuwa na heshima kwa watu, jifunze kuwa mstaarabu hata kwa watu unaotofautiana nao, jifunze kuwa mvumilivu hata kwa usiokubaliana nao kimtizamo, Jenga hoja bila matusi
Binadamu wote wanastahili heshima, hupaswi kumvunjia heshima mtu yoyote Yule hata Kama unatofautiana Naye, Jenga hoja utaeleweka tu, Mimi Nakuomba kwa Mwenyezi Mungu akupe hekima na busara katika maisha yako, akupe moyo wa Upendo na uvumilivu kwa watu wote,Unataka tumweshimu zaidi ya bianadamu wengine? Kwenda zako chawa wewe!