Pre GE2025 Rais Samia aibua shangwe na Nderemo kwa mashabiki wa Simba baada ya kupiga Simu moja kwa moja uwanja Wa Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni rahisi sana kuongoza wajinga...
Mwaka huu utakufa kwa wivu wako.maana Mama anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.Si umeona namna uwanja ulivyoripuka kwa shangwe na Nderemo baada ya kusikia sauti ya Mama?
 
Kazi ni kipimo cha utu.fanya kazi na acha kushinda kwenye vibaraza kupiga umbeya na ushakunoko wako. Maisha mazuri yataletwa na juhudi za mikono yako ,kwa kufanya kazi kwa bidii, juhudi,maarifa na kujituma sana.
Kama wewe unavyojituma hapa eti...Uko kazini umeingiza elfu 7..Hamnazo wewe.
 
Wewe ndiye mjinga usiyejitambua.
Bwabwaa hilii inamsaidia nn mtanzania ambaye hajui kesho yake umasikini umetamalaki alipo huko Moro ana tumia mabilion pesa za walipa kodi yeye na msafara wakeee....shwain
 
Bwabwaa hilii inamsaidia nn mtanzania ambaye hajui kesho yake umasikini umetamalaki alipo huko Moro ana tumia mabilion pesa za walipa kodi yeye na msafara wakeee....shwain
Fanya kazi uondoe umaskini wako. Hakuna atakaye kuja kukuondolea umaskini wako ikiwa wewe umekaa na kubweteka tu kama jiwe .Chakarika
 

Aiseee uchawa kazi sana ,yaani habari ulivyoipamba kama mtu hajaona/kusikia anaweza akaamini unayoyaongea.
 
Hizi team mbili Yanga na Simba na mpira wa Tanzania kwa ujumla ndio vitu pia vinavyochelewesha ukombozi na kuwajaza watu ujinga.

Apige simu kwenye team zote sasa, likiwemo na chama langu Meco FC kutoka Tukuyu Mbeya, vinginevyo itakuwa ni ubaguzi.
 
Mama anaupiga mwingi. Ila komredi leo mbona uzi mfupi sana?
 
kipenzi cha waTanzania, daima yuko sambamba na waTanzania katika kila hali 🐒


Well done madame President Dr Samia Suluhu Hassan 🔥
 
Mama anatapatapa
Hataamini 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…