Nimeajiri chawa kama wewe 16....plus 500 acres soya keenu mbozi....wewe sifia wanaume kujidhalilisha.....wakuhemee.....ukijitambua utakybali kula josho.lakoFanya kazi uondoe umaskini wako. Hakuna atakaye kuja kukuondolea umaskini wako ikiwa wewe umekaa na kubweteka tu kama jiwe .Chakarika
Nenda kajifunze kwanza kuandika ndio uje hapa tena .maana inaonyesha bado una umbumbumbu kichwani.Nimeajiri chawa kama wewe 16....plus 500 acres soya keenu mbozi....wewe sifia wanaume kujidhalilisha.....wakuhemee.....ukijitambua utakybali kula josho.lako
Mimi silipwi kwa ajili ya kuandika hapa kama ulivyo weweKama wewe unavyojituma hapa eti...Uko kazini umeingiza elfu 7..Hamnazo wewe.
Nani kama Mama mitano tenaNdugu zangu Watanzania,
Uwanja wa Benjamini Mkapa uliofurika na kumiminika wanachama na mashabiki wa Simba umejikuta ukiripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kusikia Sauti ya Mama yetu Mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,ambaye amepiga simu kwa katibu Mkuu wa wizara ya sanaa na utamaduni Mheshimiwa Msigwa.
Ikumbukwe Mheshimiwa Rais yupo ziarani mkoani Morogoro na kutumia muda huu wa mapumziko ya jioni kufuatilia Siku hii ya Wenye Nchi yaani Simba Day.
Kwa hakika Rais Samia anapendwa haijapata kutokea hapa nchini.hakuna kama Samia na hakuna mwenye kumfikia katika ushawishi na kupendwa na watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa hakika hakuna kama Mama .anastahili kupewa miaka mitano kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.Nani kama Mama mitano tena
Mwaka huu utakufa kwa wivu wako.maana Mama anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.Si umeona namna uwanja ulivyoripuka kwa shangwe na Nderemo baada ya kusikia sauti ya Mama?
Endelea kuropoka ujinga wako kama mtoto aliyekosa malezi mazuri ya wazazi wake.Hata nzi huwa wanashangilia kimba likishushwa kichakani...
Embu acha kuandika ujinga wako hapa. Tena acha kabisa kumfuatilia ephenKimasihara tunda litagegedwa ..
Sawa Mkuu..Samahani sikuwa na nia ovu bandugu.Embu acha kuandika ujinga wako hapa. Tena acha kabisa kumfuatilia ephen
Ya furaha ππBro salama? Vipi hiyo simu haijakufanya ububujikwe na machozi?
Anakaribia kukata tamaa ya uteuzi ndiyo maana haweki namba ya simu. Wamemchunia!Kila siku unasahau kuweka namba yasimu
ππWewe nawe zwazwa tu na u CCM wako..Eeh.nini faida ya hilo kwa maisha magumu ya wananchi waliyo nayo mpaka utuletee hapa?Halafu unaanza na eti ..Ndugu zangu..!!!??@#%Γ·
Mimi siyo chawaUna akili mbovu sana. Uchawa wako ni wa kutia aibu.
Katiba mpya ndilo jukumu alilopewa!hizo mbwembwe hazimsaidii mhusika kupata upili!!Ndugu zangu Watanzania,
Uwanja wa Benjamini Mkapa uliofurika na kumiminika wanachama na mashabiki wa Simba umejikuta ukiripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kusikia Sauti ya Mama yetu Mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,ambaye amepiga simu kwa katibu Mkuu wa wizara ya sanaa na utamaduni Mheshimiwa Msigwa.
Ikumbukwe Mheshimiwa Rais yupo ziarani mkoani Morogoro na kutumia muda huu wa mapumziko ya jioni kufuatilia Siku hii ya Wenye Nchi yaani Simba Day.
Kwa hakika Rais Samia anapendwa haijapata kutokea hapa nchini.hakuna kama Samia na hakuna mwenye kumfikia katika ushawishi na kupendwa na watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
View attachment 3060866
Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mme umepata ndugu, we hangaika nae tu maana hakuna namna.Eeeeh! Ila lucas ππ€
Hahahahaha, mtu wako huyo ,yuko makini na kazi yakeEeeeh! Ila lucas ππ€
Endelea kulia lia wakati Mama akichanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzaniaNilichogundua: Simba na Yanga ni project za "watu fulani" msitegemee "mabadiliko" kama mtaendelea kupumbazwa namna hiyo na hivyo vilabu.