Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

ukijulisha naza kovido ni kwel tunafikia hiyo midolali sitini na Kenda![emoji87][emoji85][emoji85]
 
Hivi kwanini jina la mtu la mtu linatumika zaidi kuliko la serikali?
This is a shame nawaambieni enyi wapambe wa raisi, badilikeni na tumieni neno 'serikali'
 
 
Kazi za huyu Mama ni nzuri sana kila mtu ameona aise,
 
Wananchi tunafaidika nn na huu utumbo ulioandika au ndio we tu unaangalia posho yako
 
Simchukii mama bali nawachukia watu waongo wafitini Na wenye upeo mdogo kufikiri mambo ya wazi yasiyohitaji ufike darasa la 5 ila yatamkwa Na Baba mkubwa Mwenye miaka 60 kama mleta uzi. Huwa najiuliza akili zipo pkwenye makalio?

Mwacheni mama afanye kazi yake bado ana miaka 4 ya kutu fikisha tunapotaka tufike. Nchi hii hajajengwa kwa miezi 8 bali miaka 60. Tuache upumbavu.
 
Good
 
Kila mmoja yuko huru kutoa mawazo yake, Kwani kusema nchi yetu iko 10 bora kweli ni jambo baya mkuu?
 
Tanzania ni safe
 
Yaleyaleeee ya sisi ni matajiri 🤣🤣🤣🤣🤣, mwisho wa siku tukija kweny reality uchumi umekua kwa asilimia 4.1.
 
Kuongezeka kwa chawa wa Samia no hatari kwa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…