Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Achen praising! Tujikite kweny reality itawasaidia zaid watawala kuliko kuwasifu for nothing!!!Unataka tukatae au namna gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achen praising! Tujikite kweny reality itawasaidia zaid watawala kuliko kuwasifu for nothing!!!Unataka tukatae au namna gani?
Hizo taarifa wametoa CCM?Achen praising! Tujikite kweny reality itawasaidia zaid watawala kuliko kuwasifu for nothing!!!
Sasa publishing yann? Husifu na kuabudu hapo!!Hizo taarifa wametoa CCM?
Mfumuko wa bei uko kila nchi dunianiani hata Amerika na Europe wana Inflation kubwa.Rubbish, hakuna anayezungumzia mfumuko wa bei zaidi ya kusifia ujinga
Kila mmoja yuko huru kutoa mawazo yake, Kwani kusema nchi yetu iko 10 bora kweli ni jambo baya mkuu?
Peleka huko ujinga wako na wwMfumuko wa bei uko kila nchi dunianiani hata Amerika na Europe wana Inflation kubwa.
Tabu iko wapi mkuu
Argument yako ni ya kitoto, hata USA, nchi tajiri zaidi duniani, kuna mfumuko wa bei sasa hivi. Angaza macho oune kinachoendelea duniani usijichimbie bongo tu bwashee.Rubbish, hakuna anayezungumzia mfumuko wa bei zaidi ya kusifia ujinga
Na wengine wanakimbilia kwa wazungu ili wakalishwe vya bure!Waafrika bana,tunasema sisi ni Matajiri wakati Mama anatembea na Bakuli.
Kati ya wewe na yeye nani mjinga? Hali iko hivi Duniani,je Tzn tunaishi mbinguni?Peleka huko ujinga wako na ww
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🙄🙄🙄🙄🙄😝😝😝😝😝Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,
Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa
Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP
Wana take advantage ya shida ya Dunia.Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,
Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
RubbishKwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,
Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa
Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP
Tanzania tunakwenda vizuri SanaKwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,
Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa
Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP
Utateseka sanaRubbish