Hazitambui kwa kuwa kuna nia ovu ya kupotosha.Niseme hivii, kipimo kizuri cha uchumi wa nchi kukua ni GNP,kutumia GDP kupima uchumi wa nchi kukua is "Rogue Economics." Kama wewe ni Economist wake up and see things in the right perspective,usikubali kudanganya.Unamawazo mazuri Ila basics za uchumi hazitambui unachosema hapo, Ndio maana kipimo cha Utajiri ni GDP na sio GNP
Sibishani na tarakimu za GNP,zinaweza kuwa sawa.Ninachosema ni kwamba sio njia sahihi ya kupima ukuaji wa uchumi,naomba unielewe.Unabishana na Tarakimu?
Tumpongeze Rais wetuKama Tanzania iko kwenye kumi bora kiuchumi na ndio tuko hivi! Basi umaskini wa Afrika ni balaa.
Hapana wengine hatukuzaliwa na hiyo hulka ya unafiki.Tumpongeze Rais wetu