Evari77
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 665
- 674
Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,
Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,
Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa
Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP
Wapi yaliyofanyika mbali na marehemu magufuru hayoyahasii ni kusifia sifa zisizozake hata yeye akisoma huu uzi nanajua sifa za kijipendekeza
Kama mmepewa kazi basi iwe ya kutangaza mambo halisi