Rais Samia aingia amependeza Kikaoni kuwahi kutokea, wengi watamani Ushonaji wake wa Nguo uigwe kwenye vazi la Taifa

Je, leo hujabubujikwa na machozi ya furaha ndugu Lucas?
 
Hilo ni zuri kwako wewe MWANAMKE ,but haliwezi kuvaliwa na watu wote, nchi Ina wanawake kama wewe na wanaume kama sisi.

Itakuwaje liwe vazi la Taifa??🤔🤔🤔
 
Rais Samia kiukweli anatufanya watanzania tujisikie fahari sana kuwa Naye madarakani. mpaka inafikia Watanzania wanatamani aina ya ushonaji wake wanguo ungeigwa katika vazi la Taifa .
Ujinga ni pale unapowashawishi watu wamwige shetani kimavazi.....

Maza mfupi kama kubakuli cha supu, mavazi hayamwenei anatembea kwa mwondoko wa 'nitawaibia daima' hapa we fala unakuja kumsifia hapa eti kapendeza.

Uwe unachamba na kunawa baada ya kukata gogo we fala
 
Umelaaniwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…