BonventureSr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2023
- 879
- 1,432
Nani anakulipa ewe usiyejitambua?
Mimi napiga kazi wewe silambi watu miguu kama wewe ndio nile. Wewe ndio hujitambui,yaani mpaka leo hujui mama anavaa kwa kodi zetu😂😂
Fala wa mwisho wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anakulipa ewe usiyejitambua?
😀😀Mimi napiga kazi wewe silambi watu miguu kama wewe ndio nile. Wewe ndio hujitambui,yaani mpaka leo hujui mama anavaa kwa kodi zetu😂😂
Fala wa mwisho wewe
Je, leo hujabubujikwa na machozi ya furaha ndugu Lucas?Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma. kwa sababu ikiwa upo mbali na Tv au matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma . Basi utakuwa unakosa Mambo mengi sana hapa Duniani.
Rais Samia ameingia Leo kikaoni kibabe kwelikweli.
ameingia akiwa Amependeza kuwahi kutokea au kushuhudiwa kwa kiongozi yeyote yule wa ngazi ya juu kuwahi kuingoza au kushika nafasi yoyote ile ya kiserikali mahali popote pale Duniani na kwenye vikao vyovyote vile Kuwahi kufanyika.
Walio kuwa wanamuona akiingia wengine walishindwa kumtambua kwa haraka haraka. kwa hakika tumepata Rais kwelikweli. Rais Wa viwango ,Rais mwenye utimamu wa Mwili na akili, Rais shupavu ,hodari, madhubuti,imara na makini kwelikweli.Rais anayejua ukubwa na umuhimu wa nafasi yake.
Unajua Ipo hivi. Rais na Mkuu wa Nchi ni kioo cha Nchi au Taifa. ni Nembo yetu sisi watanzania.Ni taswira ya Nchi,Mtu akitaka kutujua watanzania vyema akili zetu zilivyo anaweza kumuangalia RAIS wetu alivyo na viongozi waliomzunguka.
.Ni aibu na inakuwa aibu kwa Taifa zima ikiwa mnakuwa na kiongozi mkuu wa Nchi mshamba mshamba na asiye na mpangilio hata wa mavazi yake tu. Haelewi avae vipi na wakati gani na kwa mazingira gani na kwa matukio gani na eneo lipi na kwa hali ya hewa ipi na ukanda upi.
Siyo mna Rais anatoka na anaingia kikaoni amevaa zake masweta mazito utafikiri watalii wanao jiandaa kupanda mlima Kilimanjaro huku akijua yupo eneo na mkoa wa joto kali kama Dar es salaam. matokeo yake muda wote anajikuta anatokwa na jasho tu uso mzima utafikiri anachoma au anaopoa mkaa Juani au anachoma tanuri la matofali kule maeneo ya Mbozi mbugani.
Rais Samia kiukweli anatufanya watanzania tujisikie fahari sana kuwa Naye madarakani. mpaka inafikia Watanzania wanatamani aina ya ushonaji wake wanguo ungeigwa katika vazi la Taifa .View attachment 3204382
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyu ataishia kupiga vigelegele na kukata mauno tu kuwasherehesha wajumbe huko Dodoma.Hivi kwa akili ya taahira Kama huyu naye siku anataka apewe udc!
Baby wake amemkatazaJe, leo hujabubujikwa na machozi ya furaha ndugu Lucas?
Kesho uvae hivyo,sawaa??Umaskini wako utaondolewa kwa nguvu,juhudi , bidii,maarifa na kujituma kwako.umaskini au utajiri upo Mikononi mwako.ni wewe kuamua tu ubakie na kipi kati ya umaskini na utajili.
Ujinga ni pale unapowashawishi watu wamwige shetani kimavazi.....Rais Samia kiukweli anatufanya watanzania tujisikie fahari sana kuwa Naye madarakani. mpaka inafikia Watanzania wanatamani aina ya ushonaji wake wanguo ungeigwa katika vazi la Taifa .
Unaumia ukiwa wapi huko kusiko na sumu ili unywe na kufaHuyu ataishia kupiga vigelegele na kukata mauno tu kuwasherehesha wajumbe huko Dodoma.
Umelaaniwa weweUjinga ni pale unapowashawishi watu wamwige shetani kimavazi.....
Maza mfupi kama kubakuli cha supu, mavazi hayamwenei anatembea kwa mwondoko wa 'nitawaibia daima' hapa we fala unakuja kumsifia hapa eti kapendeza.
Uwe unachamba na kunawa baada ya kukata gogo we fala
Acha ujinga wako wewe.Hilo ni zuri kwako wewe MWANAMKE ,but haliwezi kuvaliwa na watu wote, nchi Ina wanawake kama wewe na wanaume kama sisi.
Itakuwaje liwe vazi la Taifa??🤔🤔🤔
Endelea kuhangaika tu kama kuku.Huyu ataishia kupiga vigelegele na kukata mauno tu kuwasherehesha wajumbe huko Dodoma.
Amelaaniwa mtu yule amsifiaye mwanadamu na kumfanya ndio kinga yake.Umelaaniwa wewe
Wewe unayekesha kuandika magazeti humu ndiye unahangaika halafu unaowasifia wanakuona wewe mavi tu.Endelea kuhangaika tu kama kuku.
Wewe waburudishe tu wajumbe huko Dodoma ila usirudi na mimba au ukimwiUnaumia ukiwa wapi huko kusiko na sumu ili unywe na kufa
Naona hata maandiko huyajua yanasema nini.Amelaaniwa mtu yule amsifiaye mwanadamu na kumfanya ndio kinga yake.
Save my comment we chawa.