Rais Samia aingia amependeza Kikaoni kuwahi kutokea, wengi watamani Ushonaji wake wa Nguo uigwe kwenye vazi la Taifa

Unafosi watu kufuatilia!? ccm Haina tena ushawishi kabisaa!
 
Hivi ndivyo wazungu walifanikiwa kuitawala afrika kwa kuwa na wajinga wengi kama wewe. Hadhi haiwezi kuwa kama huyu. Rais kwasasa yupo Burkina Faso. Mzazi wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Shetani. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Tumewashinda vitongojini 😅
 
Kumbe chawa
 
Uwe unamsifia na mama yako aliyebeba mimba na kwenda leba.

Kama mama yako hana nguo nzuri sema tumchangie naye apate sifa.
Kila siku sifa kwa mama wa wenzako tu??
 
ephen_ 🤔Hivi haya mambo yake ndio yaliteka moyo wako? Kama ni ndio na nyie ni adui wa taifa
 
Kitendo cha kuitwa chawa na mhusika akaona fahari kuitwa hivyo, akili yake haiwezi kuwa sawa!!! Chizi!!!!
 
Kheee..!! mmefika pabaya sana wallah
 
Kwahio imefika wakati tunaangalia kupendeza / muonekano badala ya Hoja (what is within) ?; Nadhani nilishakwambia kabla hii ingekuwa sawa kama ingekuwa ni Dessert au Starter na sio Main Menu..., Yaani kila siku Dish unalo-serve ni hizi pettiness. Anyway to each their own...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…