Mwambie ukweli huyu chawa mpuuzi sana!Akili za ma CCM ndo zimefikia huku.
Acha tu tuendelee kuwa nchi maskini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie ukweli huyu chawa mpuuzi sana!Akili za ma CCM ndo zimefikia huku.
Acha tu tuendelee kuwa nchi maskini
Mkoloni alikosea sana kuondoka mapema africa....Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma.kwa sababu ikiwa upo mbali na Tv au matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma .Basi utakuwa unakosa Mambo mengi sana hapa Duniani.
Rais Samia ameingia Leo kikaoni kibabe kwelikweli.ameingia akiwa Amependeza kuwahi kutokea au kushuhudiwa kwa kiongozi yeyote yule wa ngazi ya juu kuwahi kuingoza au kushika nafasi yoyote ile ya kiserikali mahali popote pale Duniani na kwenye vikao vyovyote vile Kuwahi kufanyika.
Walio kuwa wanamuona akiingia wengine walishindwa kumtambua kwa haraka haraka.kwa hakika tumepata Rais kwelikweli.Rais Wa viwango,Rais mwenye utimamu wa Mwili na akili,Rais shupavu ,hodari, madhubuti,imara na makini kwelikweli.Rais anayejua ukubwa na umuhimu wa nafasi yake.
Unajua Ipo hivi.Rais na Mkuu wa Nchi ni kioo cha Nchi au Taifa.ni Nembo yetu sisi watanzania.Ni taswira ya Nchi,Mtu akitaka kutujua watanzania vyema akili zetu zilivyo anaweza kumuangalia RAIS wetu alivyo na viongozi waliomzunguka.
.Ni aibu na inakuwa aibu kwa Taifa zima ikiwa mnakuwa na kiongozi mkuu wa Nchi mshamba mshamba na asiye na mpangilio hata wa mavazi yake tu.Haelewi avae vipi na wakati gani na kwa mazingira gani na kwa matukio gani na eneo lipi na kwa hali ya hewa ipi na ukanda upi.
Siyo mna Rais anatoka na anaingia kikaoni amevaa zake masweta mazito utafikiri watalii wanao jiandaa kupanda mlima Kilimanjaro huku akijua yupo eneo na mkoa wa joto kali kama Dar es salaam.matokeo yake muda wote anajikuta anatokwa na jasho tu uso mzima utafikiri anachoma au anaopoa mkaa Juani au anachoma tanuri la matofali kule maeneo ya Mbozi mbugani.
Rais Samia kiukweli anatufanya watanzania tujisikie fahari sana kuwa Naye madarakani.mpaka inafikia Watanzania wanatamani aina ya ushonaji wake wanguo ungeigwa katika vazi la Taifa .View attachment 3204382
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ulizeeka wewe.lakini Rais wetu yupo imara sana na ndio maana Watanzania wanatamani ikiwezekana aendelee kuongoza hata baada ya kumaliza muhula wake wa pili 2030.Ila pesa kweli ni sabuni ya roho,huyu mama alikuwa ameshazeeka lakin sahv kawa mrembo
Naona unaumia sana na chuki zako binafsi na wivu .Mwambie ukweli huyu chawa mpuuzi sana!
Ndugu zangu Watanzania,

Mkuu, baada ya alama ya nukta au Koma, acha nafasi kisha endelea kuandika. Sentensi zako zimebanana sanaNimekusamehe bure kabisa.Nenda na amani ya Bwana.
Nitakununulia kama hilo ili na wewe upendeze.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma.kwa sababu ikiwa upo mbali na Tv au matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma .Basi utakuwa unakosa Mambo mengi sana hapa Duniani.
Rais Samia ameingia Leo kikaoni kibabe kwelikweli.ameingia akiwa Amependeza kuwahi kutokea au kushuhudiwa kwa kiongozi yeyote yule wa ngazi ya juu kuwahi kuingoza au kushika nafasi yoyote ile ya kiserikali mahali popote pale Duniani na kwenye vikao vyovyote vile Kuwahi kufanyika.
Walio kuwa wanamuona akiingia wengine walishindwa kumtambua kwa haraka haraka.kwa hakika tumepata Rais kwelikweli.Rais Wa viwango,Rais mwenye utimamu wa Mwili na akili,Rais shupavu ,hodari, madhubuti,imara na makini kwelikweli.Rais anayejua ukubwa na umuhimu wa nafasi yake.
Unajua Ipo hivi.Rais na Mkuu wa Nchi ni kioo cha Nchi au Taifa.ni Nembo yetu sisi watanzania.Ni taswira ya Nchi,Mtu akitaka kutujua watanzania vyema akili zetu zilivyo anaweza kumuangalia RAIS wetu alivyo na viongozi waliomzunguka.
.Ni aibu na inakuwa aibu kwa Taifa zima ikiwa mnakuwa na kiongozi mkuu wa Nchi mshamba mshamba na asiye na mpangilio hata wa mavazi yake tu.Haelewi avae vipi na wakati gani na kwa mazingira gani na kwa matukio gani na eneo lipi na kwa hali ya hewa ipi na ukanda upi.
Siyo mna Rais anatoka na anaingia kikaoni amevaa zake masweta mazito utafikiri watalii wanao jiandaa kupanda mlima Kilimanjaro huku akijua yupo eneo na mkoa wa joto kali kama Dar es salaam.matokeo yake muda wote anajikuta anatokwa na jasho tu uso mzima utafikiri anachoma au anaopoa mkaa Juani au anachoma tanuri la matofali kule maeneo ya Mbozi mbugani.
Rais Samia kiukweli anatufanya watanzania tujisikie fahari sana kuwa Naye madarakani.mpaka inafikia Watanzania wanatamani aina ya ushonaji wake wanguo ungeigwa katika vazi la Taifa .View attachment 3204382
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kama kawaida yako ukurupukaji.Nitakununulia kama hilo ili na wewe upendeze.
Wewe ulishapuuzwa humu jukwaani. Mungu akusamehe sana ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa MawazoMwanaume kutamani nguo za kike ni ujinga.sema huyu jamaa aliwahi kupelekwa hospitali ya mirembe kutibiwa mental disorder.Huenda itakuwa Bado hajapona.
Kaa kwa kutulia ndugu yangu.Anza kuvaa wewe hilo dera.
Mimi Sitafuti pesa ndugu yangu kupitia mitandaoni. mimi najipatia kipato changu kupitia kilimoHuku sasa ndio utapiga Ela
Sio kile kwenye mambo ya chadema
Karibu sanaWe jamaa bhana
Mimi Sitafuti pesa ndugu yangu kupitia mitandaoni. mimi najipatia kipato changu kupitia kilimo