Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii post kwa kujua au kutokujua imemdhalilisha Samia.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma.kwa sababu ikiwa upo mbali na Tv au matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma .Basi utakuwa unakosa Mambo mengi sana hapa Duniani.
Rais Samia ameingia Leo kikaoni kibabe kwelikweli.ameingia akiwa Amependeza kuwahi kutokea au kushuhudiwa kwa kiongozi yeyote yule wa ngazi ya juu kuwahi kuingoza au kushika nafasi yoyote ile ya kiserikali mahali popote pale Duniani na kwenye vikao vyovyote vile Kuwahi kufanyika.
Walio kuwa wanamuona akiingia wengine walishindwa kumtambua kwa haraka haraka.kwa hakika tumepata Rais kwelikweli.Rais Wa viwango,Rais mwenye utimamu wa Mwili na akili,Rais shupavu ,hodari, madhubuti,imara na makini kwelikweli.Rais anayejua ukubwa na umuhimu wa nafasi yake.
Unajua Ipo hivi.Rais na Mkuu wa Nchi ni kioo cha Nchi au Taifa.ni Nembo yetu sisi watanzania.Ni taswira ya Nchi,Mtu akitaka kutujua watanzania vyema akili zetu zilivyo anaweza kumuangalia RAIS wetu alivyo na viongozi waliomzunguka.
.Ni aibu na inakuwa aibu kwa Taifa zima ikiwa mnakuwa na kiongozi mkuu wa Nchi mshamba mshamba na asiye na mpangilio hata wa mavazi yake tu.Haelewi avae vipi na wakati gani na kwa mazingira gani na kwa matukio gani na eneo lipi na kwa hali ya hewa ipi na ukanda upi.
Siyo mna Rais anatoka na anaingia kikaoni amevaa zake masweta mazito utafikiri watalii wanao jiandaa kupanda mlima Kilimanjaro huku akijua yupo eneo na mkoa wa joto kali kama Dar es salaam.matokeo yake muda wote anajikuta anatokwa na jasho tu uso mzima utafikiri anachoma au anaopoa mkaa Juani au anachoma tanuri la matofali kule maeneo ya Mbozi mbugani.
Rais Samia kiukweli anatufanya watanzania tujisikie fahari sana kuwa Naye madarakani.mpaka inafikia Watanzania wanatamani aina ya ushonaji wake wanguo ungeigwa katika vazi la Taifa .View attachment 3204382
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi siyo chawa wala Funza.
Too cheap leo tuanze kujadili mavazi, kweli pamebumaNdugu zangu Watanzania,

Nguo kama shumizi amependeza nini hapo? Uchawa ni laana.Ndugu zangu Watanzania,

Chama Cha Mazuzu IE Lucas Mwashambwa, mbubujikwa machozi namba mojaNaona ukumbi wote unabubujikwa na machozi hongera sana CCM
Wewe kweli poyoyo,babako aliuza mbuzi kusomesha mbuzi.Ndugu zangu Watanzania,

Yupo ndiyo viburudisho vya wajumbe.Lucas Mwashambwa nilidhani na wewe utakuwa huko, halafu akili za Machawa bhana sasa nguo na muonekano wa mtu unausifia hivi kweli ndugu yetu unajiewa kweli wewe?
Mwenzako Tlaatlaah yupo Dodoma huko wewe kazi yako kusifia mavazi na muonekano wa mtu tu. Tanzania kuwa na watu kama wewe kwenye mfumo ni sifuri kabisa
Yaani huyu jamaa Aki andika chochote lazima nikimbilie kwenye comment !!, Mtamtukana wee lakini majibu yake ndo yananifurahisha ๐คฃ๐คฃ๐๐๐ป Ana degree ya kupuuza๐Huna baya Cde Mwashambwa maana una una roho ngumu sana kupuuza mihemuko ya watu humu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
AnamkejeliKapendeza na hiyo shumizi ya kijani au?
zama zimebadilika ila tafsiri ni ile ile.Zaman nilikuwa na tafsiri mbaya kwa wale wanaopaka lipstick zilizokolea sana