Rais Samia aingia amependeza Kikaoni kuwahi kutokea, wengi watamani Ushonaji wake wa Nguo uigwe kwenye vazi la Taifa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii post kwa kujua au kutokujua imemdhalilisha Samia.

Imemtoa kwenye urais na kumuweka daraja la wanamitindo.
 
Hakika leo umebubujikwa na machozi ya furaha
 
Dah chawa hilo vazi la gubeli alilovaa nalo unasifiaaaaaa
 
Mwashambwa unakisanga wewe...?

Unavurugu za kijinga sana
 
Hahahaha Kama linafaa kuwa vazi la Taifa uanze kushona wewe, tuone kama litakupendeza
 
Too
Too cheap leo tuanze kujadili mavazi, kweli pamebuma
 
Na wewe utavaa hivyo hivyo ndugu Luka?, una Tako na Titi la kujaza humo au ni machozi ya kifafa tu yanakububujika?
 
Ilo vazi mkono wa nani.Sheria Ngowi,Mustapha Hasanali au Lemtula?

Ila kiukweli kabisa kabisa mama Samia ana wajihi wakupendeza.
 
Nguo kama shumizi amependeza nini hapo? Uchawa ni laana.
 
Wewe kweli poyoyo,babako aliuza mbuzi kusomesha mbuzi.
 
Ila pesa kweli ni sabuni ya roho,huyu mama alikuwa ameshazeeka lakin sahv kawa mrembo
 
Yupo ndiyo viburudisho vya wajumbe.
 
Huna baya Cde Mwashambwa maana una una roho ngumu sana kupuuza mihemuko ya watu humu 🀣🀣🀣
Yaani huyu jamaa Aki andika chochote lazima nikimbilie kwenye comment !!, Mtamtukana wee lakini majibu yake ndo yananifurahisha πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ™ŒπŸ» Ana degree ya kupuuza😁
 
Zaman nilikuwa na tafsiri mbaya kwa wale wanaopaka lipstick zilizokolea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…