Rais Samia aingia amependeza Kikaoni kuwahi kutokea, wengi watamani Ushonaji wake wa Nguo uigwe kwenye vazi la Taifa

Rais Samia aingia amependeza Kikaoni kuwahi kutokea, wengi watamani Ushonaji wake wa Nguo uigwe kwenye vazi la Taifa

Yaani katika taifa hili hichi ndiyo cha maana kuongelea. Wanaenda kujifungia ndani kisirisiri na kuwaletea mafisadi halafi nyie wajinga jinga hamhoji kwanini hakuna chaguzi mnaongelea nguo ambazo hata rangi ni mbaya!!
Hakuna chama chenye demokrasia pana kama CCM
 
Watu wanataka kusikia agenda za maendeleo siyo mambo ya kupendeza aisee unafeli wapi wewe?
 
Wewe mseme vibaya lakini mwenzio Lucas Mwashambwa yupo huko anabubujikwa na machozi ya furaha kwa Mama kupendeza Leo! Ahahahahaha!!
Mwambie huyo ndugu yako kuwa Umasikini wake utaondoshwa na juhudi za mikono yake .kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi tu.ambapo mpaka sasa kila mmoja wetu ni shuhuda wa namna serikali ilivyoweka mazingira wezeshi kwa kila mwenye kufanya kazi kuweza kufaidika na jasho lake.
 
Back
Top Bottom