Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Rais Samia akishiriki Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Juni 18, 2024 amesema zama zimebadilika na utoaji Taarifa umehamia zaidi Mitandaoni kama inavyofanyika kupitia JamiiForums.
Mama kaitaja na Tanzania Leaks, kumbe huwa anapita kote huko kupokea spana zake... sasa kwanini habadiliki? Kwanini ujifanye chura kama anasikia yote haya?
Pia soma:
- Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu
- Rais Samia akishiriki Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari Juni 18, 2024
JF ipo juu Wakuu, tuendelee kupiga spana maana wanatudhihirishia huwa wanapita na kuchukua maoni yetu.Mama kaitaja na Tanzania Leaks, kumbe huwa anapita kote huko kupokea spana zake... sasa kwanini habadiliki? Kwanini ujifanye chura kama anasikia yote haya?
- Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu
- Rais Samia akishiriki Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari Juni 18, 2024