Rais Samia aitaja JamiiForums, asema utoaji wa Habari umehamia mtandaoni kama ilivyo JamiiForums

Anajua hapa anaweza kutoa amri za kuamua ni maudhui gani yaonekane na maudhui yapi yasionekane.
 
Ila.mwigulu tulimtimua humu bila shaka anaingia humu kwa ID nyingine
Waheshimiwa wapo sana humu kwa ID kama zetu, ID zile halisi washaziweka pembeni kuhofia spana.

Wanatamba tu X ambapo wanaweza kublock watu, ila hapa hawana huo ujanja hata kama waki ignore mada tutaiona tu
 
hata Mh mkuu bila shaka yupo
 
Back
Top Bottom