Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Hadi ukabubujikwa na machozi ya faraja.Nimefarijika sana Rais Samia alipomtaja Maxence Mello kwa kumuita “Mwanangu Max wa Jamii Forums”
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi ukabubujikwa na machozi ya faraja.Nimefarijika sana Rais Samia alipomtaja Maxence Mello kwa kumuita “Mwanangu Max wa Jamii Forums”
P
Atalala huku akiitazama picha ya mama kwenye hiki kitanda chakeLeo Lucas Mwashambwa atalala na viatu huku akibubujikwa machozi ya furaha baada ya hii kauli kutoka kwa jemedari, jasiri muongoza njia, kipenzi cha watanzania mama Samia.
Kwenye uhuru wa maoni kama ulivyoinishwa kwenye Katiba ya JMT kwa kweli Rais Samia yupo vizuri. Tuendelee kumhabarisha kupitia JF.Rais Samia akishiriki Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Juni 18, 2024 amesema zama zimebadilika na utoaji Taarifa umehamia zaidi Mitandaoni kama inavyofanyika kupitia JamiiForums.
JF ipo juu Wakuu, tuendelee kupiga spana maana wanatudhihirishia huwa wanapita na kuchukua maoni yetu.
View attachment 3020067
Pia soma:
- Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu
- Rais Samia akishiriki Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari Juni 18, 2024
Endeleeni kuhabarisha watu, natumaini wanajirekebisha kwa ukweli na kufuata memaNimefarijika sana Rais Samia alipomtaja Maxence Mello kwa kumuita “Mwanangu Max wa Jamii Forums”
P
Yupo sana hapa.Na watoa habari wenyewe ndio sisi. Tukileta habari mnatushambulia kumbe Rais anatufuatilia kwa ukaribu.