Rais Samia aitaja JamiiForums, asema utoaji wa Habari umehamia mtandaoni kama ilivyo JamiiForums

Hiyo clip sio ya jf hiyo ni clip ya Asimwe, naomba
tuwekee ile clip ya Max
P
 
Kumbe hadi Mama hadi ananisoma hapaa, sasa si aniteue niwe balozi huko ughaibuni, mbna sifa na vigezo ninavyo jamani.

[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo anakuona sana MMU na Selfika, kila jina lako likikatiza anakuta unachamba watu 😀 😀
 
Tatizo anakuona sana MMU na Selfika, kila jina lako likikatiza anakuta unachamba watu 😀 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au anieweke idara ya kurugenzi hapo ikulu, mbona ndi inafaaa sana, maana inataka mtu km mie.

Ntaifanya kwa weledii haswaaa.
 
Safi sana huwa najiuliza huwa anaingia hukuwa kama Guest au ana ID, kuna I'd huwa naifananisha huenda ikawa ya Mama ila sita itaja kwa usalama.

Ila mama Nasikia Kule X mnataka kuila Kichwa, any sisi wakongwe tutaendelea huhuku tulipoanziaga kuendeleza spana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…