Rais Samia aitaja JamiiForums, asema utoaji wa Habari umehamia mtandaoni kama ilivyo JamiiForums

Kwenye uhuru wa maoni kama ulivyoinishwa kwenye Katiba ya JMT kwa kweli Rais Samia yupo vizuri. Tuendelee kumhabarisha kupitia JF.

Yule Marehemu wa Awamu ya 5 alikuwa anapambana kutaka kuingia kwenye servers za JF ili ajue code names na IDs zetu. Ndipo akamfungulia @maxene melo makesi mengi Mahakamani. Hata hivyo Maxene alishinda zote
 
Jf ndio sisi hapa! Tunakupa habari faster
 

Attachments

  • IMG-20240618-WA0028.jpg
    78.9 KB · Views: 2
  • IMG-20240618-WA0026.jpg
    98.8 KB · Views: 2
chama Cha mapinduzi
kijani na njano
hakika kidumu chama hicho milele 😃😃😃😃😃 2025
 
Ila.mwigulu tulimtimua humu bila shaka anaingia humu kwa ID nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…